swahili_sa / test.csv
DGurgurov's picture
Upload 3 files
de38b82 verified
raw
history blame
35.8 kB
text,label
Ulitaka kujua siasa hzi za democrazy nawaomba musome kitabu kinachoitwa The Prince by Machiavelli Ndio,1
Mwaka mmoja wa Rais Magufuli na mkwamo wa elimu yetu,0
Watu wengine hawatakupenda hata ufanye nini na watu wengine hawataacha kukupenda hata ufanye nini Nenda mahali penye upendo,1
Hata kama ukiwa mjanja wa kila jambo huwezi kwepa usingizi na kifo,1
Watu 12 wamefariki na wengine kuokolewa wakiwa salama baada ya Toyota Hiace kutumbukia Ziwa,0
wa SerikaliDkt Hassan Abbasi Leo ametembelea Shirika la ReliTRC kujionea ujenzi wa Stesheni ya kisasa ya SG,1
Tafadhali tunaomba namba uliyofanya swap na namba mpya kwa msaada zaidiSuzy,1
Hongereni sana,1
Wasanii mnaleta trafficme siwahafikinyie wanafikinawameza ka meli Atlantichajaelewa nini sasa,0
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa amesema sekta ya utalii nchini imeendelea kukua ambapo kumekuwa na ongezeko la watalii zaidi ya milioni 195 Soma zaidi gtgt,1
Habari mdau Tunakupongeza kwa kuibua maoni chanyaJK,1
Ukipita kwenye mabanda ya maonesho Mnazi mmoja ya Nishati Mbadala ya mkaa utamkuta karibu upate mafunzo na uwe,1
Mashambulizi yazidi huko Gaza huku raia wawili wa Israel wakiuawa nao Wapalestina kadhaa kujeruhiwa,0
Nimeulizia Sua mna matrekta mangapi nikaambiwa mengi yalikufa nimemuuliza makamu mkuu wa chuo amesema amefufua 4 Mimi nitawaongezea matrekta mengine 10 Nataka dhamira ya baba wa taifa kuanzisha chuo hiki itekelezwe kwa vitendo sio maneno tuu,1
Nataka kuongea hapa na Rais wetu aliyopo Ikulu anayeitwa kupitia tweets tatu Wana mmelala Can i speak,1
Tunaahidi kuendelea kushirikiana na mataifa yote Dunia ili kuwa na umoja imara Rais https,1
Tunapenda kukufahamisha kwamba tulikuwa na maboresho upande wa tigo pesa lakini huduma za tigo pesa zimerejeshwa tayari unaweza ukatumia huduma kama kawaida,1
Ni kosa gani mpenzi wako akifanya huwezi kumsamehe,0
Kutengeneza urafiki Fahamu kuwa watu wanaitaji kujifunza na kufurahi hapa twitter hivo basi unapoitaji kutweet kitu katika Timeline yako na unaitaji watu wavutiwe nayo hakikisha inakuwa inatoa thamanivalue kwa watu wako Zingatia pia vitu vifuatavyo ,1
Chukua chako mapema Ngoja ngoja ya nini wakati umeshashinda Cheza ulipwe Papo Hapo baada ya mechi kuisha,1
Wakati Mungu Akiendelea Kufanya Kila Jambo Kuwa Jepesi Kwetu Tusiache Kumshukuru Na Kumuamini Yeye Kila Wakati,1
umelipia tarehe gani ndugu mteja au tunaomba jina kamili ambalo umetumia kuomba umeme,1
Peter Sarme tunapenda kukufahamisha kwamba wewe ni mteja wa malipo ya baada na umesitishwa kutokana na kuchelewa kulipa huduma yako tunaomba ufanye malipo yako ili uweze kupatiwa huduma kama kawaidi tafadhali,0
Asante kwa kutembelea kurasa yetu CM,1
Kama wewe ni mtumiaji wa Instagram Tunakukaribisha kwenye ukurasa wetu wa Instagram wa,1
Tunashukuru kwa kutuletea yaani uwezo wa pesa zetu upo viganjani mwetu Tunaweza kulipa mitandaoni kuw,1
Tanzania inasema tupo vizuri lakini kiuhalisia hali ni mbaya pesa za Corona takribani TZS 154 Bilioni zilizokusanyw,0
Dudubaya ashikiliwa na Polisi gtgtgt,0
TATIZO NI TIMING Kuna jamaa angu 1 anaitwa Toni anaishi shinyanga ni mtu wa watu sana Ikifika weekend unakuta kuna wazee,0
Je wajua Kubusukissing hutoa Oxytocian kwenye ubongo homoni ambayo inaimarisha uhusiano wa kihemko kati ya watu wawili ili kuongeza furaha katika maisha yao Lets kiss each other,1
Tulisikia kilio chake tukamhudumia sasa anatembea vizuri baada ya kumfanyia upasuaji mkubwa wa Nyonga Sasa anaweza,1
Hili Ebola ni jambo ambalo mimi sipendi litokee wakati nikiwa Waziri na hata kama nisipokuwa Waziri wa Afya maana tutashi,0
Katibu Mkuu wa chama tawala Kenya Jubilee Raphael Tuju amepata ajali katika eneo la Magina barabara kuu ya Nakuru N,0
Tafadhali tufahamishe namba yako ya simu ambayo tunaweza kuwasiliana na wewe kwa taarifa zaidi Tunaomba namba hiyo kupitia DM link,1
Nickson Karibu Zantel ufurahie huduma n bidhaa kwa gharama nafuu zaidi,1
Habari tunaomba namba yako kwa msaada zaidiKA,1
hutuhudumia sote duniani kwa Kuzuia mizozo Kuwapa chanjo watoto Kulinda wakimbizi Kulisha,1
Makamu wa Rais Samia Suluhu ameongoza wakazi wa mji wa Dodoma katika Maadhimisho ya Siku ya,1
TAFITIUtafiti uliofanywa hivi karibuni umegundua vile unatumia zaidi vyakula na vinywaji vyenye sukari ndivyo unavyoongeza hatari ya kufa haraka Tiba Fasta 2018,0
TENKI LINGINE LA MAFUTA LIMEANGUKA MAKAMBAKO Kumekuwa na mfululizo wa matukio ya kuanguka kwa magari ya mafuta katika siku za hivi karibuni unadhani nini chanzo cha haya Picha na MICHAEL KATONA UHURU,0
Nawaambia haya machozi ya Watanzania yatakuja kumtia wazimu beberu mweusi Watu wanauliwa watu wanapotea watu wanajer,0
Vile vile vodacom tuna vifurushi vingi sana kuna vya siku wiki na mwezi ambapo mteja atajiunga kifurushi anachohitaji sawa na matumizi yake au sawa na salio alilonalo kwenye simu yake,1
Fursa ina uhusiano mwingi na wakati na labda bahati nzuri Matokeo yanategemea sana juhudi,1
UTAFITI Ulaji wa mboga za majani amp matunda husaidia mishipa ya damu inayopita shingoni kwenda ubongo kufanya kazi vizuri na,1
Unadhani nani atampiga mwenzie maBAO ya kutosha ndani ya dakika 90 Pata dakika za kuongea mitandao yote au Zantel kwenda Zantel na GB 1 ya kuperuzi mtandaoni bila kikomo cha MUDA ukiwa na tsh1000 tu Jiunge na BAO piga 14915,1
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo 29082018 kama unavyoletwa,1
Dokta akiongea na Husna Mikidadi binti mwenye ualbino wakati akimalizia mkutano wake Mtwara jana jioni http,1
Wengine ukiwatumia kalaki hata asante hawasemi and they wonder why hatuchangii watu Laki ni ndogo Iliniuma sanaa,0
Viwango vyetu vya kubadilishia fedha za kigeni leo tarehe 17 Septemba 2018,1
Habari Emmah Lizer Classic Pamoja sana Endelea kufurahia huduma za Tigo,1
Tafadhali tunaomba kufahamu unapata changamoto ipi kwa msaada zaidi gt BM,1
SPIKA WA BUNGE ALIPOKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA,1
Waziri asikitishwa amp utendaji wa Bodi amp Menejimenti ya kwa kutofanya maamuzi kwa wakati amp kusem,0
Waathirika duniani karibu 100000 Vifo karibu 3000 Ugonjwa umefika nchi 50 Afrika ni Misri N,0
Mara baada ya kikao hiki tutakwenda kufanya kazi kwa kasi kubwa lengo ni kuhakikisha tunaisemea na kuitetea,1
UTUMIAJI WA P2 ULIOPITILIZA utapelekea Kuzoofisha ukuta wa tumbo na kuharibu mji wa mimba sababu hii inaweza kupelekea Kutoweza kushika UJAUZITO huko Mbeleni FinallyTumia njia ya Uzazi wa mpango ulio mzuri kwa afya Epuka kujamiana bila kinga kama ujaoa Uoe,0
Kweli kabisa ujakosea Tutapotea km kuku porini,0
kufanikiwa huna haja ya uso mzuri na mwili wa kishujaa lakini unahitaji akili ya ustadi na uwezo wa kutenda,1
Bahati mbaya hii gari ingepata ajaliwamiliki wapunguze tamaa na wizara iweke standards ya gari za kubeba wanafunzi na kuhakikisha zinafuatwaGari nyingi ni mbovu,0
Neno connection limejipatia umaarufu katika siku za hivi karibuni hasa kila mara inapotokea picha au video za uchi zi,0
Mwaka 2005 nilihitimu chuo cha ualimu Kabanga kilichopo mkoani Kigoma Sikukaa muda mrefu mtaani mwaka 2006 nilifanikiwa,1
WAZIRI MPINA NITALAANIWA,0
wa taarifa hiyo akiwa ameambatana na Katibu Mkuu Dkt Hamisi Mwinyimvua na Menejimenti ya Wizara pamoja na Taasisi zake Wizara ya Nishati kupitia TANESCO inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya kimkakati ya umeme ikiwemo ya kuzalisha umeme usafirishaji umeme katika,1
Habari Ahsante kwa kuwasiliana nasi Naomba nikufahamishe kwamba vifurushi vya ofa kwa ajili yako ni vifurushi zinazo badilika badilika mara kwa mara hivyo unatakiwa kujiunga na vifurushi vilivyopo kwenye menyu yako Ahsante OE,1
KOMESHA UKATILI Kwenye vyombo vya usafiri wa umma,1
Tuna utajiri mkubwa Sana wa mawazo Ila namna yakuwasilisha na kuyafanyia kazi ndo kinachotufelisha,1
Vigezo vya kufungua akaunti ya Akibabarua ya utambulisho kutoka serikali za mtaaPicha mbili passport size 22 zenye ukutakitambaa cheupe nyuma kitambulisho kimoja wapo kati ya cha kuraleseni ya uderevapasi ya kusafiria au cha taifa na TZS,1
DKT KALEMANI ATANGAZA NEEMA NYAMAGANA Veronica Simba Mwanza Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuwaunganishia umeme wananchi wa mitaa 14 ya Kata ya,1
Nimeandika sikitiko langu juu ya kuonewa kubezwa na kukandamizwa walimu na ualimu Kama isingekuwa mwalimu Magufuli as,0
Wamiliki wa sehemu za starehe tunaomba muheshimu privacy zetu basisio kila mtu anapenda kutambulika yuko eneo lako wala kupost picha zake kwamba alikuwepo,0
Pokea Matangazo Yetu ya Moja Kwa Moja LIVE Kutoka Dar es Salaam ambapo Kikao cha Mwenyekiti wa CCM na Viongozi Mbalimbali wa Jumuiya za Chama unafanyika Pia Matangazo haya Yanapatikana kupitia App yetu amp tafuta Channel Ten Tz,1
Kitu kipya kbs nimeingiza kwa ubongo yangu Thnx ver much br,1
Mseng yulena nikimiliki bastola naanza nae kumtoa ukilemaalitaka nipotelee jela kifala,0
Haya ndiyo maisha niliyokulia in case I dont match your standards,1
Wajanja wote waliopata chanjo ya Uviko 19 wanakiri kupata kero ndogo ndogo siku za mwanzoni kama homa na kuumwa kichwa Tofauti na hapo mambo ni burudani kama kusukuma mlevi kwenye mteremko,0
Mtihani mkubwa sana huu jamani turudi katika maadili yetu,1
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Walla ya wilayani Kwimba mkoani Mwanza wakibeba baadhi ya viti na meza zake 184 ili kuvipeleka darasani baada ya kukabidhiwa kwaajili ya shule hiyo na Shule ya Sekondari Sumve ambapo vina thamani ya Sh 10 Milioni,1
Tafadhali mteja wetu tunaomba utufafanulie maelezo vizuri ili tukuhudumie,1
Hongera kwa maswali yenye maslahi kwetu sotena huu ndio uzalendo sasa,1
Habari karibu katika ukurasa wetuTunaomba utujulishe endapo unapata changamoto yoyote unapotumia huduma zetu,1
Klabu ya Simba imetozwa faini ya milioni tatu kwa kuingia uwanjani wakitumia mlango usio rasmi lakini vilevile kutotumia njia maalum iliyowekwa kwa ajili ya kuingia kwenye eneo la kuchezea Adhabu imetolewa kwa kuzingatia Kanuni ya 14 49 ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo,0
Baada ya hafla ya bomba la mafuta lunch na Mzee Kinana our esteemed CCM SG at Capuccino my favourite local joint near Tan,1
Asante kwa taarifa tunaweza kupata namba ya simu au namba taarifa,1
Uongozi wa Kampuni ya Lugumi Enterprises Limited unapenda kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Sulu,1
Huwezi kurudi nyuma na kubadilisha mwanzo lakini unaweza kuanza hapo ulipo na kubadilisha mwisho,1
Rais Mstaafu wa Awamu ya 3 Benjamin Mkapa amesema moja ya viunzi alivyofanikiwa kuruka katika uongozi wake ni kile cha k,1
Kamwe usitembee na mke wa rafiki yako kwani unajiweka kwenye kifo,1
Huwa inauma aisee upost kitu ucpate like Wala comments Unahis Kama ujumbe ujafika Hio ndo changmoto aisee But lengo ni ufurah na ujumbe ufike Kwanza nkimlza kuandika najilike mwenyewe,0
asante kwa kuwasiliana nasi na endelea kufurahia huduma zetu,1
Mubashara Fuatilia matangazo ya moja kwa moja Siku ya kwanza ya Mkutano wa kwanza wakimataifa wa Uwekezaji katika Sekt,1
Naomba niwashukuru sana uwepo wenu hapa na miezi minne ya Uvumilivu katika kufuatilia semina ya Fursa kupitia mikoa m,1
Netherland England UEFA Nations League Timu hizi zimekutana mara 33 England akishinda 14 Netherland 9 na sare 10 Nani ataungana na Portugal kwenye fainali Bet uingie kwenye droo ya kushinda safari ya Nairobi,1
Tatizo ni vyote viwili Lugha jumlisha ufundishaji mbovu mazingira duni a ukosefu wa nyenzo za kujifunzia Elim,0
Mahala pa kazi unapaswa kupafurahia badala ya kujutia kuwepo hapo Hupaswi kunyanyaswa kazini iwe kuonewakutukanwakuombwa r,1
Mbio za Mwenge wa Uhuru hutumika kufanya tathmini ya miradi mbalimbali ya maendeleo na fedha zinazotumika kutekeleza miradi hiyo,1
Njia bora ya kutangaza biashara ni kumridhisha mteja usifikirie kuhusu radio wala Instagram mridhishe mteja,1
Wametumbuliwa Baada ya mzozo wa muda mredu Hatimaye Rais Dr John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya,0
Matunda 7 muhimu kwa mjamzito 1 Machungwa 2 Maembe 3 Parachichi 4 Ndimu 5 Ndizi 6 Tufaha 7 Berries Cc,1
Ahsante kwa kuliwasilisha tatizo lako hapamuamala wa malipo ya DSTV bado upo hewani kwa sasa kutokana na tatizo la kiufundi tulilokuwa nalosuala hili linafanyiwa kazi na mafundi wetu na tutakamilisha muamala huu mapema iwezekanavyo ma L,0
Hongera naamini mtasaidia kuzuia mfumuko wa bei sokoni,1
Habari asante kwa kutembelea ukurasa wetu unahitajika kutembelea kwenye ATM mashine ukiwa na kadi yako na uweze kusajili namba unayohitaji kuitumia sasa Unahitajika kuwa na kadi ya ATM kuweza kujisajili karibuTL,1
42 ya biashara zinazofanikiwa huwa wanapatia TIMING yani wanapatia MUDA sahihi wa kuanza au kufanya jambo TIMING haipo kw,1
Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa amesema Jeshi la polisi limejipanga vyema kuhakikisha suala la Usalama linazingatiwa katika uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Ukonga unaotarajiwa kufanyika Jumapili Septemba 16 2018,1
Bwana weena wimbo naupenda unaitwa Calvary kama sijakoseajana nimedoulonidiwamapenzi raha aisee,1
Tajiri Hasikii Njaa,1
Asante sana na kwa niaba yake tunasema asante sanaAmani,1
Asante kwa kutumia huduma zetu tunathamini uwepo wako pamoja nasi live itlove it,1
Maishani watu Wanakuja na kuondoka ila wale watu sahihi na wanaojua thamani yako watabaki haijalishi una mapungufu kiasi gani,1
Tangazo Mjadala wa Artificial Intelligence AI katika Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Januari 31 2020 Eneo Kampasi,1
Ningependa pia kwa yule Mwenye uwezo Aweze kutoa Msaada pia Kwa wale wasio kuwa na Uwezo Msaada wa MalaziMavazi na Makazi Usichome Nguo Kuna watu wanahitaji Usitupe Chakula Kuna watu wanahitaji DunianiTunapita Na Kila Kitu tutakiacha Usi,1
Kama unataka kufanya biashara katika karne hii ya 21 ni matumizi ya Teknolojia ukiogopa huwezi kuongoza soko wala kung,1
Kwa sasa ni tawi lingine tu la ccm kama mengine period wanafki tu,0
Tutasema mengi ila wako serious sanahebu ona hii collabo aisee ona mwenyewe,1
Tumeamua kumuenzi kwa kupambana na vitendo vya rushwa wizi ubadhirifu wa mali za umma mambo ambayo,1
Hatima yako itakuaje ni wewe mwenyewe ni kufanya maamuzi ili hatima yako isije ikawa mbaya hapo mbeleni usisubiri miujiza,1
Machungu boss Wangu,0
Habari yako Tunashukuru kwa maoni Kwa sasa tuna bonus ya kumualika Rafiki na Bonus ukibashiri kwa usahihi mechi 1011 na 12 za Jackpot Je unapendekeza tuongeze bonus upande upi PA,1
na ninataka kuwakumbusha Paul Makonda kawa designated Human Rights Abuser kwa vitendo vya,0
Dini yangu inaniambia nisifanye wala nisiikaribie zinaa halafu ukizingatia unapopata mwenza wako ambaye mnaendana usiogope,1
Waziri Mwigulu akisoma Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka 201819 via,1
Tafadhali fahamu hiyo ndiyo orodha ya matawi yanayofunguliwa kwa siku za sikukuu na jumapilink,1
Wakati tunaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kujilinda na janga la Uviko 19 tusisahau ushauri wa Wataalamu wa afya wao kwa kauli moja wanasema,1
Uhuru wake uko wapiRais anawapa onyo wakurugenzi ambao ndio wasimamizi wa uchaguzi kuwa ole wao wawatangaze wapinzani ha,0
WAY BACK Nakumbuka natoka zangu Dar Mpaka Moro kwa usafiri either HOOD au ABOOD Sometimes kulikuwa na DSM zinasema zinaenda M,1
Asante kwa kuwa pamoja nasiushauri tumeupokea na tutaufanyia kazi kwa Kadiri tunavyoendelea kuim,1
Acha kuongea juu ya shida Unazo Kumbana Nazona anza kufikiria suluhisho tu,1
Hongera sana Mh,1
1Jina langu 2Bongo DSM 3Zari la mentari 4Msinitenge 5Nikusaidiaje,1
Mnigeria jela miaka 30 dawa za kulevya gt,0
Makonda Akina nani wanaotukwamisha via,1
AlfredHabari yakoshukrani sana kwa kushiriki nasi kwenye ukurasa wetu endelea kufurahia huduma bora kutoka tigo,1
Mi nilijua kuwa unaakili kukbe nawe bwege tu Uchumi wetu haujashuka na ni moja kati ya uchum,0
TANZIA WATU 7 WAKIWEMO WAFANYAKAZI WATANO WA AZAM TV WAFARIKI AJALINI Wafanyakazi wengine watatu wamejeruhiwa katika ajili hiyo iliyotokea wakati wakielekea Chato mkoani Geita Ni baada ya gari walilokuwa,0
Hakuna kikomo cha MUNGU kukuinua ikiwa tu utaendelea kuwa mnyenyekevu Cc,1
Eeeh mchezo wa kuloweka sio mzuri jamaa fanya vurugu mechi ila usiache zanaa,1
c iliweka historia kuwa timu ya kwanza kutoka LaLiga kucheza Tanzania pale ilipowavaa wekundu wa Msimbazi a Tazama mambo yalivyokuwa,1
nilikua nahangaika kupata mafundi rafiki yangu akaniambia kuhusu fixchap Aisee wana mafundi wa kila aina na bei zao ni nz,1
Mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa vituo vya Luninga na kituo cha Radio cha Clouds Fm cha Jijini DSM Ephrahim Kibonde aliyefariki Dunia majira ya alfajiri ya leo unasafirishwa kuelekea Jijini DSM kwa ajili ya taratibu za mazishi Soma zaidi gtgt,0
Pamoja na kuwanufaisha wanachama 6800 wa vyama hivyo vya ushirika matrekta haya yataendelea kuwanufaisha wakulima wengine wado,1
kibaya sana hiki kizazi,0
Makete Hali ya baridi na barafu imezidi kuwa tete Makete mazao yamenyaushwa na baridi kali They need alternative crops,0
Kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Kujamiiana Sospa ya Mwaka 1998 mwanaume yeyote anachukuliwa kuwa amebaka endapo p,1
Meli ya Mafuta ya Iran yashambuliwa Saudia Soma zaidi gtgt,0
Shilole AKA Shishi Baby kuhusu UkatiliUnyanyasaji Mtandaoni,0
1 Bonyeza kitufe cha POWER kupitia rimoti yako 2 Shikilia P kupitia kisimbuzi chako hadi neno CODE litakapotokea kwenye luninga yako,1
Asante kwa kuchagua CRDB Banktunakutakia siku njema SM,1
Mzee baba nakukubali sema hili linaweza likawa na ukweli,1
Anatakiwa achapike mtu offline uko aje atoe ushahidi humu ndo heshima itakuwepo,0
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha amp Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Khamis Omar akisaini makabidhiano ya kiufundi ya Mel,1
Habari umetuma kutoka namba ganiJuma,1
Habari Kubota tafadhali tuandimie namba yako ya simu inbox kwa msaada zaidi,1
Kipindi nipo chuo Dar es salaam nilikuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja wa huku nyumbani Tulikuwa tunapendana sana,1
Finally nashkuru sana kwa mawazo yenu na michango yenu Another space inshallah by Sio kila mtu anapenda kuwa parody but inamlizu ili ateke society for future use,1
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dk Leonard Akwilapo leo Nov 15 amefungua mkutano wa kwanza wa mwaka wa wadau wa tafiti kwa maendeleo shirikishi,1
Habari Ahsante kwa kuwasiliana nasi Naomba nikusaidie tafadhali JL,1
Laini ni bureyawezekana hiyo buku uliyotoa walikuwekea vocha kwa sababu ukipewa laini lazima uweke salio ili waiwezeshe kwa salio iwe hewani,1
Habari Asante kwa kuwasiliana nasi kupitia kurasa zetu maoni yako mazuri ya kuboresha huduma zetu yametufikia na tunayafanyia kazi,1
Kumsomesha mtoto wa kike ni kuikomboa jamii na familia kiujumla akipata elimu ataweza kuisaidia familia na y,1
Hello MwanzaNew service in townThe most Mobile MessengerTuma chochotepopote pale na utaletewa ulipoContacts http,1
DktKalemani aridhishwa na kazi ya upelekaji wa miundombinu ya Umeme Stieglers Gorge Waziri wa Nishati Dkt,1
Chuki humchoma anayeihifadhi Usiweke chuki moyoni mwako itakuumiza wewe mwenyewe,1
Ntamjibu bimkubwa ntake radhi wale huwa ni wadogo zangu ila Sasa huyu ndo Wife mwenyewe,1
Eneo lingine ambalo mwenge utatoa Elimu ni mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria ndugu wananchi tushirikiane katika kutokomeza ugonjwa wa malaria Waziri mkuu,1
Habari Pole kwa changamoto hiyo tafadhali fahamu tumekwishaondoa ujumbe huo,1
Katika maisha muda mwingine kubali kuzomewa kupuuzwa kubezwa na kudharauliwa Zote ni kuni Zitumie kuchochea moto w,1
utapendezesha namna unavyoitumia Twitter Kuna mengi utajifunza hutajutia,1
Ujinga wangu ndio ulionipa mafanikio,1
NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne 2018 Shule binafsi zazidi kutikisa gtgtgt,1
Habari ndugu mtejaAhsante kwa kuwasiliana nasiTafadhali tunaomba kujua ufafanuzi wa tatizo lako kuhusiana na vifurushi vyetu kwa msaada zaidiAhsanteLLM,1
Mwasiti Sam Misago hana hadhi ya kutembea na mimi,1
Mnakumbuka kipindi Jerry Tegeta alipokuwa akitupa raha Stars na Yanga ni kama leo Alikiba anavyotuburudish,1
Manunuzi yote ya umma yanafanywa na Mamlaka ya Udhibiti na manunuzi ya ummaPPRA kwa mujibu wa kifungu cha 642c cha She,1
KIGOGO WA TANAPA AIBIWA MILIONI 94 GESTI Mkuu wa Kikosi kazi cha Kupambana na Ujangili Kanda ya Ziwa ambaye pia ni Mhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa,0
Wanawake wenzangu Huyu ndo Rais tunapaswa kwenda Naye na Kumuunga Mkono vifo vya Wanawake Vimepungua kutokana na Jitiha,1
Rais Dkt John Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili mara baada ya kutoka kuwaj,1
Barabara ya Bibi Titi ni maarufu kuliko kiongozi wetu Shupavu Bibi Titi Mohhamed Naomba nikujuze kuwa Bibi Titi alikuwa m,1
represent wazawa unit mpunguzi Dodoma naomba kibabe ngoma ya izidi kupanda chat kwe,1
Habari ahsante kwa kuwasiliana nasi Tunaomba radhi kwa changamoto hiyo tumefanya maboresho katika namba yetu ya huduma kwa wateja 100 na sasa unaweza kujihudumia binafsi kupitia maelekezo ya IVRJM,1
Tazama mshindi wa pili alivyokabidhiwa tuzo yake kwenye usiku wa tuzo kwa kampuni bora 100 za mitaji ya k,1
Mkapa ameomba radhi kwa kutuita sisi wapumbavu na malofa,1
JESHI la POLISI wamekuwa wa AJABU sana na WANAKERA jana kupitia RPC wameniruhusu kufanya MKUTANO wa HADHARA kata,0
Hongereni sana vijana wa kwa hatua hii nzuri Sote tuwajibike kutunza mazingira ,1
Liverpool imetwaa ubingwa wa mashindano ya FIFA ya Klabu Bingwa ya Dunia Goli pekee lililoipa ushindi Liverpool dhidi ya,1
Kama bodi na menejimenti ya pamoja na wafanyakazi wa wataturudisha kule kulikotoka itakuwa ni aibu Mjue,0
Anatema madini halafu nampenda anaongea ukweli wa uhalisia wa maisha yetu sio ma theory tu kwenye vitabu,1
Watu sita wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo mkoani Tanga baada ya gari aina ya Noah kutumbukia mtoni eneo la Sindeni,0
Sisi 4 Mbeya City 0,1
SHAFFIH DAUDA ni mtu na Nusu Mwamba kabisa UZI Nikiwa chuoni UDOM Ba Economics 2016 wakati n,1
Lengo la mradi wa ni kushirikiana na wadau wa maendeleo ndani ya jamii zetu hii imejumuisha viongozi wa,1
Habari EliasGharama ni shilingi 3500 kwa kiasi hicho JB,1
When the killers wakianza kuwindwa ili wauwawe ndio akili zita wakaa sawa Hii ni aibu kwa taifa letu,0
TIGO PESA KWENDA CRDB BONYEZA 1 15000 2 HUDUMA FEDHA 3 TIGO PESA KWENDA BANKI 4 CHAGUA CRDB 5 INGIZA NAMBA YA K,1
Habari unaweza ukatupatia namba yako DM tukupatie maelezo ya kutosha kuhusu huduma hiiKA,1
Waziri katikati pamoja na Naibu wake kushoto wakiwa na RC Shinyanga Zainabu Tellack katika pi,1
Mahakama Kuu imemhukumu kunyongwa hadi kufa Masamba Musiba 39 kwa hatia ya kumuua mpenzi wake Betha Mwarabu Juni 2009 Wawili hao walikuwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar UDSM CrdtJF,0
4 Anne Kilango tulikua tumetulia sana ila baada ya gesi na mafuta kugundulika wanataka tuvurugane wachukue vil,0
Hongera kaka mkubwa kwa kufunga ndoakila la kheri,1
Fuatilia mashindano haya ya Golf Sony Open In Hawaii yatakayoruka Live kupitia SS1 kuanzia saa 9 alfajiri,1
Baraza la Mitihani Tanzania NECTA limefuta matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi uliofanyika kwa baadhi ya shule ambazo zimebainika kufanya udanganyifu kwa kuwapatia majibu ya mitihani watahiniwa Soma zaidi gtgt,0
Changamoto katika uendeshaji wa mashauri ya watoto Baadhi ya Mahakimu kutokuzingatia utaratibu ulioanishwa kisheria kwenye kuch,0
Hapanakitambulisho cha kusajilia ni cha Taifa tu,1
Hakuna budi kumshukuru mungu muumba mbingu n ardhi kwakuweza kutuamsha siku ingine tena naomba baraka zake nitembee n,1
Utabiri wa Hali ya Hewa wa siku tano na athari zinazoweza kutokea Umetolewa leo tarehe 22082019 na Mamlaka ya Hali ya,1
Shukran zangu za dhati zimfikie Dokta Hameer Dk Somgal na Dk Philip Adebayo dokta wangu wa sasa wauguzi na wafanyakazi wote wa Hospitali ya Agha Khan Juu ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu kwa Baraka Fadhila Neema na ulinzi wake juu yangu imani yangu kwake,1
Hakuna mwanaume aliyechelewa Maisha wala hakuna mwanaume aliyewahi maisha Kila mmoja ana nafasi ya kuwa bora cha msingi ni kupeana heshima na kupeana moyo,1
Huduma za TigoPesa zimerudi hewani sasa Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza,1
Katika jamii zilizo nyingi wanaume wanafikiriwa kuwa ndio wenye mamlaka na wanawake ni watu wa kutimiza linalosemwa na wana,0
Kumbe hela za kufanya anasa mnazo ila za maendeleo ndio hamna mpaka tozokama mna uwezo wa kununua ndege bila tozo mnashindwa nini kujenga shule na hospital NB Priorities,0
Huyu shahidi anatatupa tafsiri ya haraka haraka ya gharama za kujihusisha na siasa za upinzani Tanzania inatisha kwakweli,0
Bwana ndiye Mchungaji wangu Zaburi 23 Bwana ndiye Mchungaji na kiongoZi wetu WaTZ atuongoze kuishinda minyororo,1
Habari Andrew tunapenda kukufahamisha kuwa tuna vifurushi vya gharama ujazo na muda tofauti kulingana na matumizi ya mteja bonyeza 14901 au 14903 kisha chagua kifurushi kulingana na matumizi yako AT,1
Zinakufa sababu most of them wanawekeza kwenye biashara ambazo hawana uelewa nazo na wanawekeza kwenye bias,0
Pamoja sana tunakutakia wakati mwemaSalim,1
Ndiyo tuna akaunti za akiba na muda maalumje unahitaji kufungua ipiNasra,1
Utulivu wa akilini kuepuka papara stress unaweza kua na hekima lakini stress zikakuondolea u,1
Kuna mikoa wahudumu wamefanya tip ni haki yao ya msingi tena kwa huduma mbovuuuu tupate tuu katiba mpya aisee,0
Tundu alituhadhari ZAMANI sana kuhusu UKABILA na unavyotumiwa Awamu hiiAkapigwa RISASI Na mtu yeyote anayelalamika kuhu,0
Wasichojua hatuwez kutatua tatizo kwa kujifanya halipo Asichojua yy mwnywe kashiriki kutangaza tatizo,1
Serikali ya kijiji Cha Shilungule kilichopo katika Kata ya Busanda mkoani hapa akiwemo Mwenyekiti wa kijiji hicho Bw Mkwavi Samwel wamesimamishwa kazi kwa muda kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za UMMA,0
Leo Oktoba 3 ndio siku ya uteuzi wa Waandikishaji wa Wapiga kura,1
Maana halisi ya rudi nyumbani kumenoga,1
Mhe Pazi Maginga MwKiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Kata ya Kisarawe ametoa mchango wa Tsh Milioni 3 kampeni ya TOK,1
Kheri ya kuzaliwa Tito Magoti endelea baki imara,1
karibu kwenye maduka yetu au kwa mawakala wetu walio karibu na wewe na uweze jipatia laini yako ya Zantel na unapatikana mkoa gani tukuelekeze ni wapi kwa kupata laini yetuasante kwa kuchagua Zantel mtandao nafuu zaidi,1
Kunawa sio wakati wa kula tutujiwekee taratibu za kunawa kila wakati,1
TPRI imebaini kuwepo kwa viuatilifu feki katika maduka mbalimbali nchini kutokana na kuongezeka kwa uingizwaji kinyemela wa viuatilifu kupitia mipaka ya nchi za Kenya na Tanzania,0
Maisha ni safarimafanikio yapo kwenye kilima,1
616 Safari yetu ikaendelea zaidi huku kila mmoja wetu akiwa na shauku ya kuona mambo zaidi ndani ya Msitu wa Pugu ulio sh,1
Picha na Anerlisa wa Ben Pol zazua gumzo mitandaoni,0
Mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe,1
What a joy Nahodha wa Taifa Stars akisaini mkono wa kijana mdogo kama kumbukumbu kwa kijana huyo kwamba aliwahi kuonana na Samatta,1
Mimi Sasa Hivi nafikisha Mwaka Wa Pili Sijui Ladha Ya Soda Wala Juice Ya Kopo ambayo Sio Fresh,1
Kuna video zinasambaa kwenye magroup ya Whatsapp ya Mdada inaonekana kabisa karekodiwa bila ridhaa yake,0
Tunakushukuru sana pia Mhe Naibu Waziri wa Elimu Zanzibar kwa kuja kutuunga mkono na kutusikiliza Kupitia,1
Bash Asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa wetu uwe na siku njema,1
Wizara ya kilimo nchini Kenya imebaini harasa ya Ksh 32 Milioni kutokana na upotevuuharibifu wa zao la mahindi nchini humo kwa 12 mwaka 2016 Upotevu huo umeripotiwa kuchangiwa na ukame wa muda mrefu na uvamizi wa viwa vijeshi ktk maeneo ya kaskazini mwa Kenya,0
Mhamasishaji katika mtandao wa kijamii wa amekutwa amekufa Mwili wake wakutwa kwenye sanduku la nguo Kufahamu kisa na mkasa tembeleagtgtgt,0
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini TCU Prof Charles Kihampa akitangaza kufutiwa usajili kwa baadhi ya vyuo vikuu,0
unaweza pia ukajiunga na vifurushi mbalimbali tafadhali piga 14700 au 14800 kisha chagua zaizi yako ili kuweza kujiunga na vifurushi kulingana na matumizi yako,1
Wakikushinda kwa kutumia wewe washinde kwa kuweka akiba,1
Siku Hizi Mtu akivaa uchi ndio anaambiwa amependeza japo kila mtu ana haki yake ya Kuvaa Lakini inabidi Ufanye Chaguo la mavazi yenye Kupendeza,0
Aali hupatikana kwa ghali mtaka jema sharti adhurike Maanaili kupata kitu kizuri ama kufanikisha jambo zuri hatuna budi,1
Ishi na watu vile walivyo,1
Tubadili mtazamo wetu wa kufikiri vile ambavyo tunavyofikiri kuhusu Dar au Mwanza tuone Mazingira ya Musoma ndiyo sulu,1
UHURU MICHEZOHT Singida United 00 Bandari FC,1
Pata burger nzuri the best in town tupo Engen Petrol Station Mbezi Beach,1
Hakuna vikwazo tena wakimbizi kurudi kwao gt,1
Tupatie mita namba na kiasi ulicho nunua tutumie DM tuweze kulifanyia,1
Ya kifurushi cha Dstv Compact mwezi mmoja bure pamoja na ufundi buireGift,1
Tumieni kituo kipya cha redio ya Jamii cha TBC 921 kutangaza kazi zenu za sanaa ikiwemo muzikiDkt Mwakyembe,1
WATU WAWILI WAFARIKI KWA KUFUKIWA NA KIFUSI MGODINI Watu wawili ambao ni wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika mgodi wa BulumbakaGasuma wilayani Bariadi Mkoani Simiyu wamefariki,0
Kunawa mikono na maji tiririka mara kwa mara bado ni njia effective ya kupambana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo Uviko 19 Huu utamaduni ni wa kutunza uwe endelevu,1
Ni kiongozi gani aliyesema kuwa China imeamua kuboresha miradi 50 ya utoaji msaada wa matibabu na afya barani Afrika kwenye mkutano wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika mwezi Septemba mwaka 2018 Zawadi nono zitatolewa kwa Washindi,1
SIRI YA UGANDA KUIPIKU KENYA NA TANZANIA KATIKA UZALISHAJI WA MAZIWA AFRIKA MASHARIKI Soma hapa,1
Wimbledon Kumenoga Rafael Nadal vs Roger Federer Novak Djockovic vs Roberto Bautista Hapatoshi kwenye Tennis wababe wawili wakimenyana Hapa Federer pale Nadal Nani ataibuka kidedea Cheza ushinde kiulaini,1
uwttaifa WAANDAA KONGAMANO LA KUMPONGEZA RAIS DK MAGUFULI KWA KUITEKELEZA ILANI YA CCM NA KUTIMIZA MIAKA MITATU MADARAKANI Umoja wa Wanawake Tanzania chini ya Mwenyekiti wake Taifa,1
Ushiriki wa Sekta binafsi katika uwekezaji huo umechangia kwa kiasi kikubwa na ukuaji wake umefikia asilimia 85 hadi mwezi march 2019 kutoka asilimia 65 mwezi march 2018 Bank of TanzaniaBoT Monthly report March 2019,1
Asante kwa kututag karibu sana maduka ya Zantel upate dili la ofa za msimu wa sikukuu pata Simu za kisasa kali sana kwa bei sawa na bure kabisaa wahi sasa usipitwe tafa,1
Ni Muda Wako Sasa Kujiingizia Kipato Kupitia Akaunti zako za Facebook Twitter na Insta Unachotakiwa ni Ku Download App ya,1
Tunsume Sakajinga 59 mkazi wa Mgeninani jijini Dar es Salaam anadaiwa kuuawa na Mfanyakazi wake wa ndani Gideon Elias 20 kwa kuchomwa na mkasi shingoni Januari 12 Gideon anatuhumiwa kutenda kosa hilo ili achukue mafao ya mfanyakazi huyo wa TPA aliyestaafu Disemba 30,0
Takriban watu 14 wamejeruhiwa baada ya mabehewa mawili ya treni ya abiria inayofanya safari kati ya stesheni na Pugu na stesheni kuu jijini dar es salaam kuacha njia ya reli na kuanguka Soma zaidi gtgt,0
VIDEOTisa wauawa katika maandamano ya kupinga ugumu wa maisha katika Jiji la Khartoum nchini Sudan Waandamanaji wameiteketeza kwa moto ofisi kuu ya chama tawala NCP wanadai kuchoshwa na utawala wa Rais Omar alBashir Mwanafunzi wa Chuo Kikuu ni kati ya waliouawa,0
Mwaka huu 2018 ninaendelea na wa watu maalummuhimu kuwafolo Rachael Akidi ni mkuu wa lugha za Afrika,1
Hakikisha tunapata ushindi wa Kishindo,1
Matarajio ya hali ya hewa saa24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa Leo 27052018,1
Baada ya uhamisho kukwama dirisha lililopita niliumia kiasi kwani kwa nilichofanya 201819 nilistahili kupata move Ila,0
Ilikuwa Interview Bomba kabisa kudos kwako na Mendez,1
Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga umeungua usiku wa kuamkia leo,0
Utahitaji kima cha shilingi elf 10000 pekee kufungulia akaunti,1
Naibu Waziri TAMISEMI Serikali ina mkakati kuhakikisha kila shule nchini inakuwa na maabara na vifaa vya kutosha ili wanafu,1
Je wajua Kwa mujibu wa tafiti Uvivu ni ishara moja wapo ya mtu kuwa na akili Hii ni kwasababu ya Ubunifu Wao,1
Kwanza from the safety point of view kuwajaza watoto hivyo ina madhara yafuatayo 1 Ni wengi wanaweza kua,0
Wapo waliopotea bila kujulikana walipo kama vile Ben SaananeAzory Gwanda na Mkitii wa Halmashauri ya KibondoSmoni Kangoye,0
Ni kijana msikivu sana darasani huwa makini mwalimu akifundisha Lakink baada ya matokeo yy huwa wa mwisho Wanafunzi wenzake darasani walipenda kumuita Empty heard mtu mjinga mpk mda mwingine wanamuuliza lini utapokea mafao yako Hali hii ilimuumiza sana moyo lkn,1
Mambo Haya Ndo Alikua Hatak Manara Dada Babra Kahusikaje kwenye Iyo Picha Ila wamesahau na Mo Hapo ,0
Japo mimi ni moja ya watu wanaotaka machinga wawe monitored ila hii monitoring inafanyika kienyeji enyeji sana labda wat,0
Kwa maana nyingine ni kutazama nyuma kwa shukrani tazama Mbele kwa matumaini tazama kando kwa mapendo na tazama juu kwa im,1
Nimepokea Certificate of Appreciation kutoka kwa wanna kijiji wa Kizimkazi jimbo la Makunduchi,1
Mpo tayari pamoja na na Tume ya UKIMWI Znz inakuletea kipindi kipya cha radio,1
Unajifanya upo romantic unajaribu kuoga na babe kwa kutumia ndoo unateleza bafuni unaipiga teke ndoo maji yote yanamwagika ,0
Ni fahari yetu kukuhudumia na endelea kufurahia huduma zetuJB,1
Tunashukuru sana kwa mrejesho wako kuhusiana na huduma zetu Tutaifikisha katika ngazi husika Karibu sana Exim Bank,1
Nilivyokuwa mdogo baba yangu alikuwa akitoka kazini ananiambia unaweza kuniandikia kitu nifurahi sasa hivi nina vitabu,1
Habari Hapana Nmb tunatumia SWIFT code ambayo ni NMIBTZTZ,1
Asanteni sana kusikia kilio wagonjwa OceanRd,1
Muonekano wa kipande kilichotandikwa reli ya kisasa ya SGR jijini Dar es Salaam,1
Asante kwa kushiriki na endelea kutembelea ukurasa wetu wa Zantel,1
vigogo wawili Elimu wasimamishwa Bunge lapitisha Sh13 trilioni via,0
Hii siku ni funzo kwetu sotetujitahidi tuishi vizuri ili hata siku tukiwa hatupo duniani tuzungumzwe kwa mema yetuWatu wa celebrate maisha yetu hata tukiwa kaburini,1
Serikali imeamua kuwa vipimo kwa ajili ya homa ya Dengue vitatolewa BURE kwenye vituo vya kutolea vya kutolea huduma,1
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Mara wamebaini mchezo mchafu wa kununua madiwani wake wakidai k,0
Makamu Mkuu wa Shule hiyo iliyopo Wilaya ya Ikungi Raphael Malan ameagiza wanafunzi 212 wanaotarajiwa kuanza kidato cha kwanza shuleni hapo kuripoti wakiwa na viti ndoo ndogo na vigoda Amedai shule hiyo inakabiliwa na upungufu wa madawati 392,1
SABABU INAYOFANYA MTU AJIUMIZE AU KUUMIZA WATU WENGINE NI UKOSEFU WA MAARIFA UNAWARENESS,1
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo 29052018 kama unavyoletwa kwenu na mchambuzi Godfre,1
Kigango cha Mlimani wilayani Chato chapandishwa hadhi na kuwa Parokia Teule ya Mlimani,1
Mungu ni mwema sana hatimae mnamo 20102021 nilitunukiwa shahada yangu ya kwanza DEGREE kutoka UDSM Asanteni nyote mlioku,1
sahihi kabisa lazima tuonyeshe hali ya kuheshimu jitihada,1
Nzuri Sana,1
Daktari anaweza kuokoa maisha yako Mwanasheria anaweza kutetea maisha yako Askari anaweza kukupa amani katika maisha yakoLakini ni Mungu tu anayeweza kukupa uzima wa milele,1
Mheshimiwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi anatimiza leo miaka 96 na leo anatupatia zawadi ya kitabu tawasifu ya maisha,1
Muonekano wa Ndani ya Nyumba ni Kitu Muhimu sana Pale Unapotaka Kujenga Usimuumize Kichwa Wacheki ni wabob,1
Ukifundisha mwanaume kilimofamilia yake itashiba Ukimfumdisha mwanamke kilimojamii yake itashiba Tayari,1
JIJI LA DODOMA KUWA NA UTALII WA BUSTANI YA MITI NA MAUA Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Constantine Kanyasu ameiagiza Kurugenzi ya Uzalishaji miche ya miti kuanzisha utalii wa,1
Habari David namba yako bado haijakamilishwa usajili kwa vidole Tafadhali tembelea maduka yetu ya Airtel na kitambulisho cha taifaJuma,1