swahili_sa / dev.csv
DGurgurov's picture
Upload 3 files
de38b82 verified
text,label
Leo nimepata kitambulisho changu cha taifa Asante sana,1
Asante na tafadhali subiri tutawasiliana nawe kwa msaada zaidi Gift,1
Sio watu wazuri awa Nakutana nao FA Cup nawafahamu awa,0
Halafu anatagiwa atume 15k while hiyo ndio ilikuwa Budget yake ya Lunch Dinner na Bia 2 akalaleBoychild Tunateseka,0
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania TRC ikiongozwa na Mwenyekiti Prof John Kondoro yatembelea kambi za Ujenzi w,1
Hatimaye machapisho yangu ya kielektroniki sasa yataweza kupatikana kwa mobile money mpesa Airtel money TigoPesa katika,1
Marko 834 Yesu akasema Mtu ye yote akitaka kunifuata ni lazima ajikane mwenyewe auchukue msalaba wake anifuate AJ,1
Jeshi la Polisi laadhimisha Siku 16 ya kupinga ukatili wa kijinsia na watoto katika Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Kipolisi Rufiji PichaTanpol,1
Pole sana kwa Familia IPP Media and watanzania wote walioguswa na msiba huu mkubwa Mungu akawe faraja kwenu RIP Reginald Mengi,0
Ana anajifanya mzalendo mpigania nchi kumbe yupo dm anaomba utelezi Kweli Twitter people never don what they preach,0
Zoezi la Usajili na utoaji wa Vitambulisho halijasimamishwa ni zoezi endelevu karibu kwenye Ofisi zetu za usajili Wilaya unayoishi tuweze kukuhudumia,1
Tuko kwenye hatari ya kupata ebola kutokana na muingiliano mkubwa uliopo kati ya nchi ya Congo na nchi yetu ya Tanzan,0
Kipindi nimemaliza elimu yangu ya shule ya msingi sikuweza kupata matokeo mazuri yakunifanya niende kidato cha kwanza H,0
Busara na hekima inatakiwa kutumika,1
John Mrema Tumekuwa na mafunzo kwa wanawakekila mwaka wana graduate wanawake 120 kwenye masuala ya uongozi Mwenyekiti wa B,1
Tunachukulia vitu kwa wepesi sana imagine hawa makomando watoke halafu waamue kulipa kisasini kumuomba Mungu tu yaishe salama,0
karibuni kupata kitabu changu kipya Kipo TPH Samora Avenue 15000 tu Kiliandikwa kwa ajili ya vijana lakini kina,1
Vijana kutoka DTBTanzania tawi la Mwanza wakikabidhi mifuko ya Saruji kwa Mhe Stanslaus Mabula Mbunge wa Nyamagana Mwanza jana Huu ulikuwa ni machango wa benki yetu katika kukabiliana na changamoto ya upungufu wa madarasa katika shule za msingi zilizopo mjini Mwanza,1
Kasi Ya Watu kufanya Mazoezi Ni Kubwa Mno Sasa 125000 Badala Ya 150000 Whatssap,1
Serikali haina nia ya kunyanganya ardhi ya wananchiMhe Mabula,0
habari tunashukuru kwa kuwasiliana nasi Endelea kufurahia huduma supa kutoka Vodacom DM,1
Unaweza kufanya malipo yako mbalimbali kwa kutumia Visa Card kutoka KCB kwa bei ileile,1
Leo ni siku yako ya kuzaliwa ya kwanza tangu ututoke Leo ni siku ya kuzaliwa kwako bila uwepo wako shujaa wetumpatanish,0
Kutuma picha za faragha mitandaoni inaweza kuwa jambo la kufurahisha hadi pale siku utakapogundua kuwa maisha yako ya b,0
Pole sana kwa changamoto hiyohatuna lengo la kuwaibiatunaiboresha huduma ya kuangalia saliotunaomba utupatie namba tafadhali tukuangalizie,1
Tunawakosea sana watototena hao baby skuli wanatakiwa wasome shule za jirani yani dada ndo anampeleka kwa mguu tu,0
Maziwa Bora kabisa ya ngombe Maziwa Fresh mazuri mazito yana cream yake ya kutosha Lita 3 9000tzs Lita 5 120,1
Ni muhimu kufahamu kwamba mitandao ya kijamii si kila kitu Tusijikute tunaumizwa na attacks mbalimbali Kila mtu ana,1
Vijana tuwe na heshima tunapoona mtu kampost mkemume au hata mtoto wake swala la hana tako miguu membamba au kibonge s,0
Pole sana kwa changamoto uliyopata tunaomba mrejesho unaopata na namba yako ya nmb mobile inbox tafadhaliYN,1
Habari Quban Kwa sasa hatuna tawi mkoani Dodoma ila huduma zetu zitafika huko hivi karibuni,0
Sema tuwe serious na branding za wachezaji wetuifike point wajue wao ni bidhaa ukiachana na kucheza mpira tu,1
Leo tumekabidhi nyumba za watumishi wa afya 60 zilizojengwa katika wilaya 6 mkoani Lindi,1
Network yenyewe ya Airtel Kila jambo kwa wakati wake na wakati wa Mungu ndio wakati sahihi,1
Black taafadhali tunaomba namba yako ya simu na tarehe husika kwa ajili ya taarifa zaidi,1
Napenda nichukue Fursa kumshukuru Mungu na kukushukuru wewe pia kwa kuweza Kupata Nafasi ya Kupromote kitabu Uzinduzi Ulikuwa Mzuri wa Kitabu katika CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO Naomba tuwasiliane kwa namba Whats App no 0624613046 i,1
Puuza uzushi kwamba chanjo italeta madhara baada miaka kadhaa sikiliza majibu ya wataalam wa afya ili tumshinde huyu adui,1
Sina uhakika sana soko la mziki nalo lina fitna zake vizuri tuu WCB naweza kusema wana loyal fans,1
Innovate Innovate Innovate In Tanzania We need more and more,1
pamoja sana endelea kutumia huduma zetu kwani bado tunaendelea kuboresha zaidi ili kuweza kuwapatia huduma bora zaidi tigo live itlove it,1
Asante sana kwa kushea na kutembelea kurasa zetu,1
Hongera vijana wanaojitolea Odette Kwizera kutoka Burundi ni mfanyakazi wa kujitolea wa nchini kwenye redio ya jamii ya Soma simulizi yake,1
Leo tumeweka historia tutajenga km 300 kwa pesa yetu DarMoro 160kph Moro saa 1 tu CCM Mpya Tanzania Mpya,1
onet online shopping store tafadhali tembelea kwenye ofisi au duka letu Karibu ujiwahie ya kwako,1
Asante sana na kwa wimbo mzuri wa kumuimbia Mama yangu Paskalina na akina Mama wote,1
Habari yako Habby Issahujanja ni kujiachia na mtandao bora kutoka tigoshukrani sana na endelea kufurahia huduma zetu,1
Simba SC 4 5 Sevilla FC FT tzsportpesa laliga,1
Tusiruhusu Bidhaa feki toka nje kuingizwa sokoni kwani zinaweza kuua viwanda vyetu,1
Kesho nitakuja na uzi wa Je Wajua za tofauti kidogo Lau unipatie wasaa wako kesho nikusogezee darasa kiganjani kwako,1
Massele Ndugai wavurugana,0
mpaka sasa najua una nyimbo moja kali ya siasa kichwani hebu iweke kwenye pepa then studio huu ni muda mw,1
Mmetengewa kiasi cha Fedha kwa ajili ya Ujenzi mkubwa wa mradi wa maji ambao utarahisisha na kuwasaidia Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,1
Tenda Wema nenda zako usingoje shukurani,1
Sema una unafiki fulani wa kisenge sanaunachifichaga kwenye kivuli cha utani ila ipo siku itakukosti,0
Utamu wa raha ni kujipa mwenyewe na huku ukijiachia kwa raha zako kupitia wakati huu mpaka saa,1
Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo tarehe 28012019,1
Sisi MCL tunajivunia kuwa mstari wa mbele kuwawezesha waandishi wetu wa habari na ujuzi wa karne ya 21 Tumeanza mafunz,1
Ni kweli You areca beautiful Woman sijui Girl hongera,1
AbdallahKwa Mwanza tunapatikana Mtaa wa Rwagasore karibu na Midrand Hotelnamba ya muwakilishi wetu ni 0779751325 Pia tunapatikana Mtaa wa uhuru Dampo namba ya muwakilishi wetu ni 0772552318 Na uwanja wa Nyamagana mwakilishi wetu anapatikana k,1
Kinga ni kinga ya maisha ya familia yako wazazi au uwapendao endapo utapata janga la kifo au kwa baadhi ya bidhaa za bima h,1
Mazingira ni Afya mazingira ni uhai unapokuwa kwenye mazingira mazuri uzee uchelewa Tuko Mbagala,1
Kuna wakati unahitaji mtu wa kuketi nae chini akuambie usihofu jitahidi unafanya vizuri tunaona juhudi zako na tunatarajia ut,1
Hapo ambapo mnapataja temeke isolation kwa ajili ya wagojwa wa corona unasema hakujajaaa how come wagojwa wawe 19 Basi natakwimu za tetesi za wagojwa zitolewe,0
Meko ni tapeli na MWIZI una kazi ya kujitapa hapa tuna hela sijui nini 6bn zinakutoa jasho mxxxx Lipa hela ya wakulima,0
Ahsante kwa kutembelea ukurasa wetu wa mitandao ya kijamii hakika tutazidi kukupa kile unachohitaji AhsanteOE,1
Happy Birthday Bro Mungu Azidi Kukubariki Kila Iitwapo Leo,1
Ktk makosa 3 ya kutoa nyaraka za uongo mshitakiwa atatumikia kifungo cha miaka 5 jela kwa kila kosa Makosa 14 ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu ni miaka 6 jela kwa kila kosa Hakimu alisema adhabu hizo zitaenda kwa,0
Nchi 120 zinaunga mkono mkataba wa Roma na mahakama ya kimataifa ya uhalifu Mwaka huu ni miaka 20 tangu kuridhiwa kwa Fahamu zaidi kazi za,1
Aisee bro life ni gumu sanaa kitaaa unaweza fikiria mambo yasiyofikirika yani acha tuombe mungu labda barak,0
Ikiwa hawa wengine wenye magonjwa haya adimu wameweza kufanikiwa na kujitengenezea umaarufu kwa nini isiwe hivyo kwa,1
Mwigulu nchemba waziri wa Fedha anasema kuwahakikishia watanzania wote kuwa gawio hili tutalitumia kuwaletea maendeleo,1
Habari Mandela tunaomba ufike dukani kwetu kwa msaada zaidi,1
Habaritunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokezatunakuomba utupatie namba zako za simu DM tafadhali hm,1
Niwatu wenye maendeleo mtandaoni ila ukija na uhalisia wao ni zero,1
TTCL Makao Makuu yazindua eneo jipya la Mapokezi Ni Reception Bab kubwa Wateja kuendelea kupewa kipaumbele katika mi,1
Habari Asante sana kwa mrejesho wako tutaufanyia kazi Asante,0
Uonevu wa kimtandao na uvujishwaji wa pichavideo za utupu ni sehemu ya kutengeneza kovu kwenye afya ya akili,0
Furaha amani na faraja ni nguzo muhimu katika maendelo ya jamii yetu kwa kulitambua hilo wapo pamoja na wanaj,1
MubarakMohamed tunashukuru kwa ushauri na endelea kuwa nasi,1
Maadhimisho ya siku ya maadili na haki za binadamuSerikali haitomvumilia kiongozi yeyote atakayekiuka misingi hiyo katika utendaji wakeSoma Zaidi gtgt,1
Suala la Maiti kutozwa fedha lililoibuliwa Bungeni na Mhe Mbunge wa Mbeya mjini Chadema jana Februari 1,0
Kuna mwamba humu ndani yuko nondo balaa kwenye mambo ya anaitwa ukipata wasaha em pitia page yake maa,1
Asante kwa Maoni mteja wetu tumeyapokea,1
Leo Januari 03 2020 Makamu Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Mhe akiaga mwili wa Bi Verdiana Mu,0
Tafadhali tupatie akaunti namba yako majina kiasi ambacho ulikatwa kwenye kisanduku cha ujumbe Inbox kwa msaada zaidi CM,1
Rafiki Fanya wema bila kuchoka mshahara wa Mungu hauna tarehe atakulipa kwa wakati wake Inshallah,1
Habariasante kwa kutuandikiatawi la NMB Mlimani city litakuwa wazi mpaka saa kumi jionihm,1
GULAMALI SMA A inabeba laini 2 inatakiwa kuweka line 1 Zantel na line nyengine uipendayo Tafadhali Jitahidi uwe na line ya Zantel ili upate 12GB za bure kwa mwaka mzima,1
naomba mtoe kauli ya kuzikataa hela za Meko Hawezi akatutesa hivi halafu anakuja msibani kujifanya an,0
Kwa muda mrefu sana wazazi wenye watoto wenye magonjwa adimu wamelazimika kuvumilia mateso ya watoto wao na kuishi na,0
Maamuzi Magumu ni kumhonga girlfriend wako laki 3 ya kununua wigi wakati Baba yako aliomba 10000 ya LUKU nyumbani kwen,0
Jumuiya ya Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mapema jana katika harambee walioanzisha ya kumkomboa mtoto wa kike kupata stara kwa kuchangisha ujenzi wa,1
Mnajua nyie wasichana Tatizo sio vijana wanakosa nguvu za kiume tatizo ni wasichana mnapita kweny mik,0
Waliotakiwa kushtakiwa kwa ugaidi ndo wamevaa uniform zenye bendera ya taifa shameless twats,0
Takukuru Lugola na wenzake makosa yao yameangukia kwenye uhujumu uchumi Wakati sheria ya Uhujumu Uchumi inatungwa,1
Tanzania imefungua rasmi ubalozi wake mjini Tel Aviv nchini Israel Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusuani wa Afrika Mashariki Dkt Augustine Mahiga ameshiriki uzinduzi huo uliofanyika nchini Israel,1
okay tunakutakia siku njema tigo live itlove it,1
Kuna sehemu umenifurahisha sanaaiseeh kuna magodoro unaeza lala na ataticha acjue km kuna mtunilikuwa naamka saa 2na patron akipitisha patro anioni mpk wakawa wanasema vp unadawa nn,1
VIDEO Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda namna wawawake wajane wanavyanyashwa na baada ya kufiwa na waume zaogtgtgt,0
Binafsi namshukuru sana Mungu kwa kunifanya ni jumuike na miongoni mwa wanawake wachapakazi wa benk ya NMB tawi la C,1
Yuko RUMANDE miaka 2 bila ya uchunguzi kukamilika na lazim apewe RUKHSA kuleta maombi mahakamani awe HURU Bora uwe MFUNG,0
Habari Ahsante kwa kuwasiliana nasi Naomba kufahamu sehemu ya tatizo lako kwa msaada zaidi SC,1
ALHAMDULILAH TUMEPANDA TENA Nimepanda hadi nafasi ya 13 kwenye viwango vya ubora duniani kutoka nafasi ya 24 N,1
Sisi piahakika nyie ndio mlikua wapinzani haswa Tunashukuru pia tunategemea kuonana siku za usoni zaidi na zaidi,1
Frank tafadhali tutumie taarifa za akaunti yako kupitia ujumbe mfupi DM kwa msaada zaidi MC,1
Ushauri mzuriasante kwa kutuandikia,1
omba Mungu asikunyime ukame wa kuwa na marafiki ambao hawachoki kulitaja jina lako kwenye vyumba vilivyojaa fursa,1
Leo Januari 20 2020 ndiyo mwisho wa zoezi la usajili wa laini kwa alama za vidole baada ya kuongezwa siku 20 na R,1
Serikali ina mifumo mizuri na shirikishi kwa Vijana ila sisi kama vijana hatujachukua hatua ya kujihusisha na mifumo hi,1
Hivi ukiambiwa na mke wako wewe ni mwanaume gani nakulisha kila siku sasa nina mwanaume mwingine anataka kunioa unamfan,0
Kuna siku nilikutana na wewe somewhere niko mzigoni ukanipa faraja pole na kazi kuna kitu ndani yako Insaallah,1
Nakukumbusha matumizi Ya dawa za Dharura za uzazi wa mpango P2 yanaweza kusababisha ukawahi kuona hedhi kabla ya muda n,0
Kuna brother etu alitajiwa mazaga huko kaskazini mashariki hadi baadhi ya ndugu wa Mke wakainuka kumtetea Mmeona sab,0
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema madai ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kuwa Bunge halijamlipa fedha zozote tangu ashambuliwe hayana ukweli Tazama zaidi gtgt,0
Spika wa Bunge aliposhiriki Mkutano wa Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya nchi za Afrika Mashariki uliofanyika Arusha,1
BODI YA REA YAKAGUA MIRADI YA UMEME VIJIJINI UKEREWE Veronica Simba Mwanza Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini REB leo Oktoba 6 2019 imefanya ziara wilayani Ukerewe Mkoa wa Mwanza,1
Wanaume wagumu kulipa mikopo,0
Naondoka Libya nikiwa na moyo mzito na wasiwasi sana Matumaini yangu ni kwamba bado inawezekana kuepuka mapigano ndani na karibu ya Tripoli unajitolea kuwezesha suluhu ya kisiasa na kuwasaidia raia wa Libya ziarani Libya,0
JEULISHAWAHI KUWAZA HIZI NI BIASHARA 1 Event planning 2 Photographer 3 IT consultant 4 Social media consultant 5 Per,1
Nyumba ya ya bomolewa kupisha barabara,0
Asanteni sana kwa kutafsiri kazi yetu hapa ni lugha muhimu,1
Ahsante kwa kuwasiliana nasi Pole sana kwa changamoto uliyoipata Tunapenda kukufahamisha kuwa wateja wote walipewa MB 300 kama pole,1
Habari huduma hiyo bado ipo kwenye maboresho tunakushauri kutumia simbanking kufanya miamala kutoka kwenye akaunti kwenda kwenye simu,1
Waziri Nape Nnauye alipokutana na Wachezaji wa Serengeti Boys leo asubuhi 1892016,1
MAUAJI POLISI NA RAIA UVINZA Waziri wa Mambo ya Ndanj Mh Kangi Lugola amemuagiza IGP awaondoe ktk nafasi zao Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma wakati wa,0
Huu mpira huu sijui huwa anapata furaha kwenye Timu ipi huku kule,0
Willy Gamba tunaomba kufahamu unapowasha data kwenye simu yako unapata alama gani E2G3GH au 4G,1
Mpaka sasa thamani ya mauzo ya hisa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam DSE yamefikia Sh bilioni 7500 katika,1
Dodoma Watu 29 wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha lori na treni jijini Dodoma Kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma Gilles Muroto amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo Mkuu wa Wilaya ya DodomaPatrobas Katambi,0
Leo si ndio 2611 basi fika viwanja vya jamhuri hapa Dodoma tuweze kuelimika kwa pamoja na kuelewa hali ya ukatili ilivyo n,1
Namshukuru sana kaka mkubwa kwa kunilipia miaezi mitatu ya kunipeleka Sober house ili niachane na madawa,1
Serikali inekanusha taarifa inayosambaa kwa njia ya video kupitia kituo cha televisheni cha China cha CCTVAfrika ikielezea kuwepo kwa viashiria vya kundi la AlShaabab Tanzania,1
Hatukuwa tayari kimataifa Zahera gt,0
Pesa haikupi kila kitu lakini kila kitu kinataka pesa,1
Habari Tafadhali tuandikie namba yako ya simu kwa msaadaSalim,1
Umeme waondoa sifuri sekondari Lindi gt,1
Unaambiwa yake inaweza ikakuponya na ukasahau machungu yaliyosababishwa na Ronaldo na Simba pale Taifa,1
Follow kijana safi kaja Twitter mwaka huu Tukimsaidia akafikia followers 100 asubuhi,1
Hadi kufikia Aprili 2019 Serikali imechukua hatua mbalimbali za kuongeza ukwasi kwenye uchumi il,1
Jeshi la Polisi nchini Kitengo cha Usalama Barabarani limetoa tahadhari kwa madereva wote wasio he,1
Pendekezo la 20 linatoa mamlaka yasiyo ya kawaida ya kudhibiti maudhui ikisisitiza kwamba kila bango litakaloandaliwa,1
Nilipokutana na mwanaume wa 2 siku ya kwanza tu kushiriki naye tendo nikapata mimba alipaniki na nilimuelewa kwani nilikuw,0
Ukipata nafasi ya kuishi Dar usiondoke ukiweza kuishi Dar hakuna mkoa Utakao kusumbua kwenye maswala ya kutafuta hela,1
Chanjo ya UVIKO19 itakusaidia kupambana na virusi na kukupunguzia hatari ya kupoteza maisha,1
Hofu yao iko kwenye uovu wao ambao wameisha ifanyia jamii,0
Mkuu wa Wilaya ya Nakonde Alex Sinkala akiwa amepiga magoti kumshukuru Rais Dkt Magufuli kwa kumpa TZS 5 milioni kwa aj,1
Pole sana kwa changamoto uliopata,1
Habari Ahsante kwa kuwasiliana nasi Naomba nikusaidie tafadhali RP,1
Napenda kuwahakikishia watanzania kuwa gawio hili tutalitumia kuwaletea maendeleo wananchi wetu Hizi fedha zitatumika viz,1
Habari Tafadhali piga 14700 au 14800 chagua saizi yako siku wikimwezi au Halichachi kupata vifurushi vyetu vilivyoboreshwa zaidi sasa,1
Habarikwa sasa unaweza kupata ujumbe ukiweka kwa wakalakupata ujumbe unapoweka dirishani bado ipo katika mchakato SM,1
Niliwahi kusema hivi kwenye msg kwa Jamaa mmoja hivi Maarufu alikuwa anasumbua Sana na michango Hatimae urafiki Wetu,0
MKURUGENZI KILWA AJIVUNIA MCHANGO WA ZAO LA UFUTA KWENYE MAENDELEO YA HALMASHAURI YAKE Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa Renatus Mchawi amesema kwasasa Halmashauri ya wilaya ya kilwa imepiga,1
Habaritafadhali fahamu kuwa gharama hiyo unapata ofa ya kifurushi cha DStv Compact Tzs 44000kwa mwezi mmojaGift,1
Tupunguze Uzito,1
Aliyekuwa mke wa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela Winnie Mandela 81 amefariki dunia,0
Tumependekezwa kuwania Tuzo ya Taasisi inayotumia vizuri zaidi mitandao ya kijamii katika uchechemuzi na mawasiliano Tunaku,1
Miss Tanzania ameshukuru wote waliomuunga mkono kwenye mashindano ya Miss World 2018,1
huezi amini mpaka leo hajaoa na sasa hivi anamchezea tu wa watu,0
Utabiri wa Hali ya Hewa wa siku tano na athari zinazoweza kutokea Umetolewa leo tarehe 11052019 na Mamlaka ya Hali ya,1
Nafasi ya wewe kumiliki nyumba ndio hii Sasa unaweza kununua nyumba kutoka NHC kwa bei,1
PICHANI ni baadhi ya wanfunzi wa shule ya msingi Itika wilayani Mufindi mkoani Iringa wakinyoosha mikono juu kama ishara,1
Kupitia kambi hii naamini tutapata viongozi mahiri na sisi tutaendelea kuwaunga mkono katika kutimiza,1
Habari Asante kwa kutuandikia kupitia kurasa zetu tafadhali tuandikie ujumbe na namba ya kadi kwa msaada zaidi Salim,1
Kwa mara ya kwanza Tanzania imefanya utafiti wa Measuring Early Learning Quality and Outcomes MELQO na imechangia kupata t,1
hiyo uliyoishika sahivi ina wimbo wake kabisa na unabamba kinoma,1
Hakuna kitu tunaweza kufanikisha kama azaki moja au mtu mmoja Tunahitaji kushirikiana Tunahitaji nguvu za pamoja kuha,1
Jenga Bet Getafe Real Madrid Timu hizi zimeshinda mabao 30 kwenye mechi zao zilizopita LaLiga Mechi yao itakuwa na mabao mangapi Bashiri idadi ya magoli na masoko mengine hadi 6kwenye mechi hii kwa JENGA BET ushinde,1
Kwa pamoja tunaweza kulinda afya zetu na watu wanatuzunguka kwa kupata chanjo ya uviko 19,1
Asante kwa kushiriki nasi kwa vifurushi nafuu vya dakika na intaneti piga 14915 kujiunga,1
Muonekano wa mpaka kati ya Argentina Paraguay na Brazil katika makutano ya Mto Iguaz na Mto Paran,1
MDHAMINI WA TUNDU LISSU ATISHIA KUJITOA Mdhamini wa Mbunge wa Singida Mashariki CHADEMA Robert Katula ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwamba anatamani kujitoa kumdhamini,0
Usijisikie dhaifu kuitwa mwogajapo sio kwamba woga utakusaidia katika kila nyanja lakini hofu na wasiwasi ni nguzo muhimu za,1
Asante sana Clouds Media,1
Wanafunzi wasioona wanawezaje kuona picha hizi kwenye cover ya kitabu,1
Sasa unaweza kupakua ripoti za utafiti wa utekelezaji wa sera ya kupitia na,1
Shoka lisilo mpini halichanji kuni,1
Ngoma ikilia sana haikawii kupasuka,1
Mwaka Unaisha Lakini atachukua Tuzo ya MPUMBAVUUU BORA wa Mwaka Au mekosea Wadau https,0
Ukweni malalamiko yanekuwa mengi ndio maana tunafikisha ujumbe,1
Kitambulisho cha NIDA ni mchongo sana katika baadhi ya michongo muhimu Usikipuuzie kabsa,1
Mwanamume anapaswa kuhisi kwamba anahitajika na mwanamke anapaswa kuhisi kwamba anahudumiwa,1
Malipo ni hapa hapa duniani,1
Usiingie kwenye mahusiano na mtu ambae hutatamani watoto wako wawe kama yeye,1
Hakuna maji wangeishijekuziba watu midomo si suluhisho Kiafya ni jambo la hatari sana,1