Datasets:
Search is not available for this dataset
text
stringlengths 0
186k
|
---|
kwa inavyosemekana ni kwamba uchawi hauvuki bahari sa huyo jamaa haoni kama kuna wezekano wa bibie kwenda kufanyia uo upuuz zenj. so kama vip labda amfungie meter." |
changamoto ambazo wengi wetu tunakutana nazo na jinsi ya kuzivuka ili kupiga hatua zaidi. |
Walikamatwa Ngorongoro, wakapakiwa kwenye malori, wakasafirishwa, njiani magari yalipimwa uzito, yakafika Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (umbali wa km 300), wakashushwa, wakaingizwa kwenye ndege na kutoroshwa. |
← John Ngahyoma afariki dunia Wanaotuhumiwa kuleta chokochoko kwenye CUF ni hawa hapa → |
"mhe. ulega amebainisha hayo wakati akikagua ujenzi wa mradi wa machinjio ya kisasa katika eneo la vingunguti katika manispaa ya ilala, ambapo amesisitiza wafanyabiashara wa nyama wanapaswa kuuza nyama kwa bei ya kawaida kulingana na hali ilivyo ili kuhakikisha watu wote wanapata kitoweo hicho." |
m: na desfossés anaonyesha na bazungu ingine: banasema ah iko muzuri sana/ njo banaendelea: nabo wanabakiamo wanaanza kufanya madessins muzuri/ |
sehemu ya waumini waliojitokeza. |
makandege alibainisha kuwa kutokana na vitendo vya scbhk, kuendelea kujitangaza kuwa mdai wa iptl, pap ilifungua shauri la madai namba 60/2014 mahakama kuu. katika shauri hilo, pap inadai nafuu kadhaa ikiwepo mahakama kuu kutamka kuwa benki hiyo sio mdai wa iptl na kwamba ilipe fidia ya dola za marekani bilioni 3.24, ambazo ni takribani trilioni 6.48 za tanzania. |
je kupata kura baada ya kampeni (ccm au vyama vingine) na kuingia bungeni ni nini? jamiiforums the home of great thinkers |
afisa mkuu wa mpango |
Ankal akiwa katika ofisi za Quality Machinery and Truck Commercial Ltd ya mji wa kusoma ambako alikutana wakurugenzi wake Mohamed Hijja (aliyekaa) na Athumani Mloka (kuume). |
Kupata vitabu vyote inapatikana kwa namba yako ISBN 9780866362375 Linganisha bei haraka na kwa urahisi na kuagiza mara moja. |
anasema nje ya nchi kuna watanzania wengi wanaocheza soka la kulipwa lakini kutokana na njia walizoondokea kutokuwa halali wanashindwa kujitambulisha na kuonekana tanzania ina wachezaji wachache wa kulipwa nje ya nchi |
"mhe. joseph o. mbilinyi: mheshimiwa mwenyekiti, taarifa." |
Mwimbaji wa muziki nchini marekani ambaye pia ni rapper na mwandishi mzuri wa mashairi ya muziki nchini... |
 Masanja Mkandamizaji ameweza kunogesha tamasha la Utamaduni wa Afrika Mashariki nchini Marekani kwa kutumia kipaji chake cha uchekeshaji siku ya Jumamosi Septemba 17, 2016 kwenye siku ya tamasha la utamaduni huo wa Afrika Mashariki lililofanyika Olney, Maryland nchini Marekani. |
"""jeshi la polisi linahitajika kuimarisha ulinzi na usalama kwenye mikutano ya hadhara, ndivyo sheria namba 5 ya vyama vya siasa ya mwaka 1995 inavyosema, si vinginevyo. kitu ambacho wamekifanya kipo kunyume na sheria.""" |
"kaimu kamanda wa polisi wa mkoa wa pwani, asp blasius chatanda alithibitisha tukio hilo, akisema mwili wa marehemu uliagwa jana. |
"waliomuibia dk chami waendeleza ubabe saturday, 15 october 2011 07:56" |
’’ ndugu zangu wote mnaelewa kuwa kwa sasa tatizo la uharibifu wa vyanzo vya maji ni kubwa kwa sababu ya uvamizi wa vyanzo vya maji,ukataji wa miti ovyo pamoja na uvamizi wa makundi makubwa ya mifugo katika vyanzo vya maji pamoja na ongezeko la upungufu wa ubora wa maji nnchini “ alisema prof. maghembe. |
Rais mwenye mamlaka juu ya Jamhuri ya Muungano ni Rais wa Jamhuri ya Muungano. |
Kihusishi anstataŭ (badala ya) hunaonyesha kitu ambacho jukumu lake linatimizwa na kitu kingine, ambacho nafasi yake inachukuliwa na kitu kingine: |
"wazi sasa, kama yupo mwanachama au mpenzi wa yanga alikuwa ana kiherehere cha kutaka kuhoji juu ya ahadi ya manji ya uwanja wa kisasa, sasa hataweza kufanya hivyo na badala yake anafikiria hali itakavyokuwa baada ya mfanyabiashara huyo kung'atuka." |
Acha ujinga bi kiroboto kavaa kitaifa? |
Katika WML, jina sifa ya <pembejeo> na <chagua> hutumiwa kwa kutaja jina la kutofautiana kwa ajili ya kuhifadhi data fomu. |
dizzim online | 2017-07-13 12:59:05 |
"picha : dijitali kwa maendeleo (oxfam)yaibua changamoto nyingi katika jamii ikiwemo ya maji | malunde 1 blog |
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka Kizazi kipya ni producer Man Walter |
kama kweli itakuwa faraja kwa ukwibaji wa hela za watz pale tz |
kuamua kushiriki mchakato huu wa ""mabadiliko ya katiba"" kama ulivyoanzishwa na kusimamiwa na chama cha mapinduzi ni kukubali matokeo ya mchakato huo na hivyo kuupa uhalali ambao ninaamini kabisa hauna. mchakato huu umekubaliwa - kwa bahati mbaya sana - na wanasiasa wa chama tawala na wale wa upinzani na sasa unasubiriwa uanze kufanya kazi baada ya tume ya kusimamia mchakato huo kuteuliwa. hivi sasa tume hiyo inasubiri kuapishwa. mchakato huu haufai kwa katiba mpya |
bonyeza play hapa chini kupata habari kamili |
"sheikh wa mkoa wa simiyu, mahamoud kalokola akizungumza na baadhi ya viongozi wa bakwata kabla ya kupokea vifaa vya ujenzi vilivyotolewa na rais wa zanzibar,mhe.dkt.ali mohamed shein ili kukamilisha ujenzi wa msikiti wa masjid raudhal mjini bariadi kutoka kwa mwakilishi wake ally habshy abdallah" |
kuendelea kulalamika, haitosaidia mwisho wa siku uchaguzi unakaribia. |
kuboresha mazingira kwa makundi yaliyotengwa (wanawake na wasichana) kwa kutumia serikali na vyombo vilivyoundwa (kamati za vijiji na mabaraza ya ardhi ya kata) ili kuwawezesha kupata na kutumia ardhi na mali nyingine. |
"niende wapi kupima kama nina virusi vya ukimwi?. 14 mar 2015 15:16, (wiki: vichekesho). niende wapi kupima kama nina virusi vya ukimwi?" |
‘utautaka tu, upende usipende…’akasema na sikumuelewa ana maana gani. |
waziri wa ujenzi, dk. john magufuli alisema hayo jana alipofanyaziara ya kukagua ujenzi wa mzani wa vigwaza, ambao hadi kukamilika utagharimu sh. bilioni 10.1. |
mbinu: embossing |
kwa mila nyingi za kiafrika jambo ambalo halizungumzwi sana lakini linafanyika ni ngono. ngono imegawanyika katika sehemu mbili kubwa ya kwanza ni ya kimaumbile na ya pili ni ya kisaikolojia. hii ya kimaumbile ni ile hali ambayo hata bila ridhaa au utayari wa mtu maumbile moja kwa moja (automatic) huweza kuingia katika ngono. hapa panahusika hata kwa wale wanaobakwa kwani ingawa si hiyari yao kufanya ngono lakini maumbile yanawezesha kufanyika kwa ngono. |
Aidha mfereji wa Suez ni njia muhimu ya mawasiliano baina ya Bahari ya Hindi na Bahari ya Atlantic na njia fupi kabisa kwa watu wa nchi za Ulaya wanapotaka kuelekea Bahari ya Hindi. |
imewekwa na saleh ally @ 9:00 am" |
'huyo ni mtu wangu ndiye aliyebakia wa kumuamini .'akasema |
hibi jphib japan 638 km |
duuuh! tafsiri yake tafadhali. |
serge gnabry story ya watoto plus facts untold biography |
"lakini pia ufugaji unaweza ukawa wa aina moja ya wanyama au mchanganyiko mwandishi wetu msafiri mgumba wa matukiodaima. |
Hizo thamani yake haizidi buku mkuu.. |
djatou tour s ngerin |
discussion in 'jukwaa la siasa' started by mwamakula, oct 30, 2011. |
mwanzo > yanga > tshishimbi tatizo jipya yanga, tambwe aonyesha matumaini |
Stupidity attains hybrid status. Failure to repay a loan is a civil matter. How it becomes criminal is beyond me. Son, don't just copy stuff. Haikosi wewe in wale walikuwa wakicopy mpaka jina ya desk mate. |
jichukulie nakala yako sasa |
3-4-3 mara nyingi imekuwa inageuka kuwa 5-3-2 hasa pale wanapokuwa wanashambuliwa. upeo wa conte umesaidia saana maana yeye anakuwa kama mchezaji wa 13 wa chelsea. anausoma mchezo mwanzo mwisho na anawapigia kelele akina alonso na moses wakimbie faster kurudi nyuma kusaidia ile beki 3 team ikishakuwa under siege. |
"moja ya vituo ambavyo vimefungwa mitambo mipya ili kuboresha upatikanaji wa umeme jijini dar es salaam. |
05/14/17--06:39: _breaking nyuzzzz...... |
blog-ya-wakatoliki open. 21 aug 2017 23:14, (katoliki-f). blog-ya-wakatoliki |
miongoni mwa aliyoyazungumzia ni utoaji wa fedha za ujenzi wa viwanda viwili vya maziwa. |
Bacary Sagna: Sitoacha kufunga saumu kwenye mechi |
hotuba ya rais xi kuhusu suala la taiwan ni mwongozo mpya kwa amani, muungano na maendeleo ya china |
haraka nikayapeleleza mazingira yale na kugundua kuwa hapakuwa na uwezekano wa kuyakwepa yale mawe kwa kupita kando ya ile barabara. kwani ile barabara ilikuwa nyembamba na kando yake kulikuwa na miteremko mikali iliyokuwa imemezwa na misitu minene ya mvua. hivyo kwa mahesabu ya haraka hapakuwa na namna ya kuendelea na safari yetu pasipo kusimama na kuyaondoa yale mawe ya kizuizi cha barabarani. hisia zangu zikaniambia kuwa mambo hayakuwa shwari tena hivyo nilipaswa kufanya maamuzi ya haraka kabla macho yangu hayajaniletea tafsiri ya taswira mbaya iliyokuwa mbioni kuumbika kichwani mwangu. mara moja nikayapeleka macho yangu kumtazama amanda na macho yetu yalipokutana niliweza kuiona hofu iliyokuwa imejengeka usoni mwake na hapo nikamshika mkono wake taratibu huku macho yangu yakimueleza nini tulichopaswa kufanya muda ule. tukiwa katika hali ile akili yangu ikarudishwa mle ndani baada ya mlio mkali wa risasi kusikika eneo lile. |
(sauti ya assumpta massoi)" |
ameyasema hayo alipokuwa akiongea katika mikutano ya hadhara na wananchi wa mitaa ya mongoroma na serya ili iliyofanyika katika maeneo hayo. |
"7 basi sasa hofu ya bwana na iwe juu yenu; angalieni mkaifanye; kwa maana kwa bwana, mungu wetu, hapana uovu, wala kujali nafsi za watu, wala kupokea zawadi." |
12/06/16--22:28: WAKAGUZI WA NDANI WATAKIWA KUSIMAMIA UBORA WA MIRADI MIKUBWA YA UJENZI WA MIUNDOMBINU |
""mimi naviomba vyuo kuanza kujiuliza kwa nini vijana wanaomaliza hawajiajiri ama kuajiriwa kwa kuzifuata fursa mbalimbali zilizopo nchini ikiwemo kwenye sekta ya kilimo jambo ambalo wanatakiwa kulitatua ili kuleta mabadiliko.""alisema . |
Abdul Mohamed awa Meneja Mkuu Azam |
“Benki zinaweza kukusanya amana kwa kiwango kikubwa lakini kama nilivyosema jana (juzi) kuwa katika kila Sh60 kati ya Sh100 zipo kwenye mikono ya watu badala ya kuwekwa akiba benki hivyo ni muhimu zikawekwa mbinu ya kuzipata kwa ajili ya kuwawezesha wawekezaji kuzitumia kwenye uzalishaji,” alisema. |
"safu za ""cordillera oriental"" na ""costera del caribe"" katika mashariki (hadi m 736 juu ya ub)" |
mziray alisema kampuni hiyo itakuwa inaandika makosa yote yatakayopatikana katika daladala na kupeleka nakala sumatra ili iweze kuyashughulikia ipasavyo |
hii ina maana kwamba uwiano wa mzungu mmoja kati ya kumi walipata daraja a na mtu mweusi mmoja kati ya moja sifuri sifuri sifuri walipata daraja a |
"kwa sababu kama anauawa mwenyekiti wa ccm, anauawa wa ccm, wanaruka nyumba ya yule asiye wa ccm na wewe unasema yataendelea na maeneo mengine, una haja ya kutusaidia kujua kwa nini yataendelea na maeneo mengine. |
Kikosi cha U-21 kimechukua ubingwa mbele ya Hispania, England, Italia na Denmark mataifa yanayoaminika kuwa na timu bora za vijana. |
"wakati nikiwaelekeza hawa kina dada, ninamwona mmoja akimwegemea mwenzie." |
Upeo wa umri: Miaka ya 35 (kuzaliwa baada ya Oktoba 1st, 1982). |
Mtandao wa Mafundisho preview. 26 May 2017 14:14, (featured-katoliki). Mtandao wa Mafundisho |
Unapaswa kuanza kufanya mabadiliko ya kitakachohitajika kuhusu wiki za 2 kabla ya kuanza mzunguko uliochaguliwa. Ni muhimu kuchukua ziada ya kila siku ya multivitamins na mafuta ya samaki. Unapaswa kuongeza ulaji wa protini unapomaliza mzunguko. Kwa kuwa homoni zako zitabadilika baada ya kukatwa kwa matumizi ya poda ya Adrenosterone inahitajika kuchukua bidhaa nzuri ya tiba ya mzunguko baada ya 4 kwa wiki 6 baada ya mzunguko. Haiwezi kuwa muhimu ikiwa unafanya mzunguko mrefu wa wiki 9 ya 300mg, lakini dalili za juu zinahitaji matumizi ya bidhaa nzuri ya PCT. Matokeo bora hutokea wakati unapojitayarisha kwa kutosha na kufanya uvumilivu katika kupata mwili wako kutumika kwa mabadiliko. |
Kila mtu aliyekuwa ndani ya ndege hiyo aliondolewa salama, kwa mujibu wa gavana wa mkoa Yucel Yavuz. |
umm-salal (mkopo) 8 (4) |
"m011,mara nyingi watoto wa kike hua wanafanana na baba," |
indaba africa: kikundi cha vijana wa kikristo tunduma chashinikiza nyama waliyochinja iuzwe |
"""siwezi "" alijibu binti huyo na kuzama majini kabla hajamaliza sentensi yake." |
Somali 66,000 23,117,000 Somali 1 ● Islam 0.00 % 0.00 % 1 |
come investire con le opzioni binarie g8 binary options cannot read property forexport of undefined at a. hofu ya kuzuka maradhi ya kipindupindu imetanda katika shule ya upili ya wavulana ya narok baada ya zaidi ya wanafunzi 40 kufikishwa forex hospitalini wakiwa na dalili za kutapika na kuendesha. |
“Ukuaji huu unaendana sambamba na mikakati ya kampuni ya kuhakiksha kampuni inaendelea kukua, kutengeneza faida, kukuza ajira nchini, kuchangia pato la taifa kupitia kodi, na kuendelea kuiunga serekali mkono katika kuwaletea wananchi wa Tanzania maendeleo,”amesema Corsaletti. |
Tatizo mnamsahau Mwenyezi Mungu ,hivi wanapokuwa kuna madaktari bingwa na wazoefu wa kazi zao ,mnataka kutuambia hafi mtu ??? Na pale anapokufa ,hawa hutakiwa kujiuzulu ?? |
9499 litecoin kwa norwegian krone |
“vijana wanaendelea na mazoezi mbalimbali, lakini pia wameshiriki mashindano tofauti ndani na nje ya nchi, nina hakika wanariadha wetu kina [emanuel] giniki, gabriel [geay], fabian nelson na wachezaji wengine watafanya vizuri kilometa 21. |
"mwandosya kama waziri mkuu ni safi, sumaye sijui baada ya kutoka havard chuoni alichosomea obama, chenge, clinton na wakuu wengine, sijui kama ana jipya? lakini kazi aliyoifanya bosi wake mkapa ni safi sana." |
Aloyce Nzuki kwenye mkutano unaofanyika Jijini Arusha, amesema kuwa Sera inafanyiwa marekebisho kwa kuwa imepitwa na wakati kutokana na mabadiliko makubwa yaliyotokea katika Sekta hiyo. |
Item Reviewed: Onyesha flow yako kwa kuimba Mwagika Tune upate nafasi ya kushiriki katika video ya mastaa |
Mwaka unapokaribia ukingoni tunalazimika kutathmini mafanikio na vikwazo vya maendelea. |
Akakusanya kila kitu chake na kuweka vizuri kibanda chake, akapiga magoti na kusali sala fupi akimuomba Mungu wake aifanikishe safari ya kumtorosha malkia wa masokwe kutoka ndani ya Msitu wa Tongass. |
Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba, Richard Ndassa (kulia), akizungumza jambo na mjumbe mwenzake, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda nje ya ukumbi wa Bunge, mara baada ya kuaghirishwa jana. |
"na tukumbuke kumbukumbu juu ya langa | tizneez |
Kayula Siame, wakitia saini moja ya mikataba ya kuanzishwa kwa Kituo Cha Pamoja na Mpakani katika Mpaka wa Tunduma na Nakonde unaotarajiwa kuanza kufanyakazi rasmi Februari mosi, 2017. |
ufisadi na uongozi mbovu ndani ya mfumo wa utawala chini ya ccm hauko kwenye ngazi ya taifa tu bali umejikita katika ngazi zote za chama hicho na serikali yake. wakati viongozi wa kitaifa wa chadema wakiongozwa na mwenyekiti freeman mbowe na katibu mkuu dr wilbroad slaa wakipambana na mafisadi na kutetea rasilimali za nchi yetu kwenye ngazi ya taifa nyinyi mnapaswa kutimiza wajibu huo kwenye ngazi yenu. |
"na koku david kikundi cha kwaya ya redemption cha kanisa la pentekoste lililopo tabata kinyerezi jijini dar es salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita kimefanya uzinduzi wa albamu yake ya kwanza yenye nyimbo 10. katika uzinduzi huo uliofanyika kanisani hapo, mgeni rasmi alikuwa mbunge wa viti maalumu wa wilaya ya ilala kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (chadema), anatropia theonest, ambaye alilichangia kanisa hilo sh milioni moja kwa ajili ya kununua kinanda katika kanisa hilo. akizungumza wakati wa uzinduzi huo, mbunge huyo alisema kanisa lina nafasi kubwa ya kuirekebisha serikali pindi itakapokwenda kinyume na kumpendeza mungu hivyo amewataka viongozi wa dini kuwashirikisha viongozi wa serikali katika masuala mbalimbali ya kanisa. “naomba kanisa liwafundishe waumini wake ujasiriamali ili waweze kujipatia kipato cha kujikimu kimaisha na waondokane na utegemezi wa kuomba misaada,” alisema anatropia." |
"jumanne ya leo aprili 12, 2022 ni siku ya kumi tangu kuanza kwa mwezi mtukufu wa ramadhani. tunamuomba allaah mtukufu azikubali swaumu zetu. makala yetu leo inakusudia kuiangazia siku ndani ya mwezi wa ramadhani iitwayo ‘laylatul qadri’ (usiku wa cheo) ambayo ni bora kuliko miezi 1,000 isiyokuwa na usiku huo adhimu. nini laylatul qadri (usiku wa cheo)? laylatul qadri (usiku wa cheo) ni usiku mtukufu unaopatikana ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani. usiku huu una fadhila nyingi na miongoni mwa hizo ni kuwa ibada ifanywayo katika usiku huu, ikikubaliwa, malipo yake ni sawa na ibada ya miezi elfu moja (miaka 83 na miezi 3). katika qur’aan tukufu sura ya 97 (surat a-qadri) aya ya 1 hadi ya 5, mwenyeezi mtukufu anatubainishia utukufu wa usiku huu kwa kusema: “hakika sisi tumeiteremsha qur’aan katika laylatul qadri, usiku wa cheo kitukufu. na nini kitachokujulisha nini laylatul qadri? laylatul qadri ni bora kuliko miezi elfu. huteremka malaika na roho katika usiku huo kwa idhini ya mola wao mlezi kwa kila jambo. amani usiku huo mpaka mapambazuko ya alfajiri.” miongoni mwa yanayoupa ubora usiku huu (laylatul qadri) ni haya yafuatayo: (1) mwenyeezi mungu mtukufu ameiteremsha qur’aan tukufu katika usiku huu ndani ya mwezi wa ramadhani kama tunavyosoma katika qur’aan tukufu, sura ya 2 (surat al-baqarah), aya ya 185 kuwa: “mwezi wa ramadhani ambao imeteremshwa humo qur’aan kuwa ni uongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uongofu na upambanuzi…” (2) usiku huu ni bora kuliko miezi elfu moja na kwamba atakayekubaliwa ibada yake katika usiku huu malipo yake ni makubwa sana. (3) kama ilivyodhihirika katika sura iliyotangulia kuwa katika usiku huu malaika hushuka na amani hutawala. akiuelezea sababu ya kupewa umma wa mtume muhammad (allaah amrehemu na ampe amani) mwanachuoni marehemu sheikh mohamed ali swaabuny amebainisha katika kitabu chake cha tafsiri ya qur’aan tukufu ‘swaf-watut tafaasiri’ kuwa mtume muhammad (allaah amrehemu na ampe amani) alipata habari ya mtu alivaa silaha akapigana jihadi kwa miezi elfu moja (miaka 83 na miezi 3). mtume muhammad (allaah amrehemu na ampe amani) akizingatia wastani wa kuishi kwa umma wake alimlilia mola wake akisema: “ewe mola wangu wa haki, umeufanya umma wangu ni umma wenye umri mfupi sana na (hivyo) ni umma wenye matendo machache sana (yasiyolingana na wale walioruzukiwa umri mrefu wakawa na matendo mengi). mwenyeezi mungu mtukufu akamwambia: ‘nimekupa laylatul qadri ni bora kuliko miezi elfu moja aliyopigana jihadi yule mtu uliyesikia habari zake. laylatu qadri ni usiku wa kufanya ibada na kujikurubisha kwa mwenyeezi mungu na kwa kauli zenye nguvu hupatikana katika kumi la mwisho la mwezi mtukufu wa ramadhani ambalo waisilamu wanaotekeleza ibada ya swaumu wanatakiwa wakeshe nyusiku (wingi wa usiku) zake hasa za witiri ili kupata fadhila za kuupata usiku huo na kupata bahati ya kuhesabiwa amali ya miezi 1000 na ziada. ni dhahiri kuwa asiyefanya juhudi za kuutafuta usiku huu na akaukosa atakuwa amepata hasara kubwa kama tunavyojifunza hayo katika hadithi ya mtume muhammad (allaah amrehemu na ampe amani) iliyopokewa na annasaaiy kuwa: “imepokewa kutoka kwa abuu huraryah (allaah amridhiye) kwamba ilipofika ramadhani, mjumbe wa allaah (allaah amrehemu na ampe amani) amesema: {umekujieni mwezi wa ramadhani, ni mwezi wa baraka. imefanywa swaumu kwenu kuwa ni fardhi, milango ya pepo hufunguliwa na milango ya moto hufungwa na mashetani hufungwa. katika mwezi huu, kuna usiku ulio bora kuliko miezi elfu. atakayenyimwa kheri zake, basi hakika amenyimwa!}. kwa nini usijitahidi kukesha na kuzidisha ibada katika kumi la mwisho la ramadhani wakati mtume muhammad (allaah amrehemu na ampe amani) ambaye amepewa dhamana ya kutokuwa na madhambi, pamoja na hayo, alikuwa anafanya juhudi kubwa na akiishirikisha hata familia yake katika hilo kama tunavyoona katika hadithi zifuatazo: imepokewa kwa ‘aaishah (allaah amridhiye) kwamba: “mjumbe wa allaah (allaah amrehemu na ampe amani) alikuwa akijitahidi katika kumi la mwisho kuliko alivyojitahidi katika siku nyingine zozote.” [hadithi hii inapatikana katika kitabu cha hadithi za mtume muhammad (allaah amrehemu na ampe amani) kiitwacho sahihu muslim]. tunasoma katika hadithi nyingine kuwa: imepokewa kutoka kwa ‘aaishah (allaah amridhiye): “ilipokuwa linaingia kumi (la mwisho) mtume (allaah amrehemu na ampe amani) alipania shuka yake, akikesha usiku, na akiamsha ahli zake.” na katika upokezi mwingine: “akikesha usiku na akiamsha ahli zake na akijitahidi na kupania shuka yake.” [hadithi hii inapatikana katika vitabu vya hadithi viitwavyo sahih al-bukhari na sahihi muslim]. baadhi ya wanazuoni wamesema usiku huu umeitwa laylatu qadri kwanza: kutokana na uwezo; nao ni utukufu na hadhi yake ukilinganisha na siku nyingine. pili: ni usiku ambao una makadirio na majaaliwa ya mwaka mzima na huandikwa yote yatakayotokea mwaka huo, na hii ni hikmah ya allaah mtukufu na kuonyesha usanifu katika utengenezaji wake na uumbaji wake; na tatu: usiku huo una uwezo mkubwa kama alivyosema mtume (allaah amrehemu na ampe amani): “atakayesimama usiku wa laylatul-qadr kwa imani na kutaraji malipo, atasamehewa madhambi yake yaliyotangulia.” [hadithi hii inapatikana katika vitabu vya hadithi viitwayo sahih al-bukhari na sahihi muslim]. ibada za kufanya katika laylatul qadri ni kumuomba sana msamaha mwenyeezi mungu, kuswali swala za sunnah, kukuthirisha kusoma qur’aan tukufu, kuleta adhkaar (kumtukuza na kumhimidi allaah kwa kusema subhaana laah, alhamdu lillaah, laailaaha ilaa laah.) na kukaa itikaafu msikitini. nj muhimu kuyafanya haya ili kuepukana na hatari tunayoelezwa katika hadithi ifuatayo: imepokelewa kutoka kwa anas na wengineo kwamba mtume (allaah amrehemu na ampe amani) alipopanda juu ya minbar aliitikia ((aaamiiin, aaamiiin, aaamiiin)). alipoulizwa kwa nini ameitikia hivyo akasema: ((amenijia jibriyl akasema: “ee muhammad, ole wake yule ambaye unapotajwa hakuswalii, hivyo sema aaamiiin”. nikasema aaamiiin. kisha akasema: “ole wake yule ambaye umeingia mwezi wa ramadhwaan kisha ukatoka bila ya kughufuriwa (kusamehewa), kwa hiyo sema aaamiiin”. nikasema aaamiiin. kisha akasema: “ole wake yule ambaye amewakuta wazazi wake au mmoja wa wazazi wake lakini wasimuingize peponi. hivyo sema aaamiiin”. nikasema aaamiiin)) [hadithi hii inapatikana katika kitabu cha hadithi za mtume muhammad (allaah amrehemu na ampe amani) kiitwacho sahihu at-tirmidhiy]. juu ya dua gani ya kuomba katika laylatul qadri, tufaidike na jibu alilopewa bibi aaishah alipomuuliza hilo mtume muhammad (allaah amrehemu na ampe amani) kama tunavyoona katika hadithi ifuatayo: imepokelewa kutoka kwa ‘aaishah (allaah amridhiye) kwamba amesema: “ee mjumbe wa allaah! nieleze ikiwa nitajua usiku fulani ndio wa laylatul-qadr, niseme nini?” akasema: ((sema: “allaahumma innaka ‘afuwwun tuhibbul-‘afwa fa’fu ‘anniy.” (ee allaah hakika wewe ni mwingi wa kusamehe, unapenda kusamehe basi nisamehe)) [hadithi hii imepokewa na an-nasaaiy, sunan al-kubraa, ibn maajah na ahmad] tuhitimishe makala hii kwa kuzitaja kwa ufupi siku nyingine bora katika uislamu, nazo ni: siku ya arafa siku ya arafa (yaumu arafah) ni siku ya tisa katika mwezi wa dhil hijjah (mfungo tatu) ambayo ni miongoni mwa siku bora kwa waislamu, ambapo mahujaji husimama katika mlima wa arafa uliopo makkah nchini saudi arabia, wakitekeleza moja ya nguzo muhimu za ibada ya hijja. siku kumi za mwezi wa dhil hijjah (mfungo tatu) hizi ni siku kumi za mwanzo katika mwezi wa dhil hijjah ambazo ni siku bora kabisa mbele ya mwenyeezi mungu ambazo amali yoyote inayotendwa humo ni yenye kupendwa mno na mwenyeezi mungu. siku ya ijumaa siku ya ijumaa ni siku yenye fadhila nyingi na ni sikukuu kwa waislamu ambapo mtume muhammad (mwenyeezi mungu amrehemu na ampe amani) amewataka watakaokuja katika mkusanyiko wa siku ya ijumaa waoge. miongoni mwa yanayoipa ubora siku ya ijumaa ni kufunguliwa milango ya mbingu ili kuitikiwa maombi (dua) za waja wa mwenyeezi mungu. mtume muhammad (mwenyeezi mungu amrehemu na ampe amani) ametuambia kuwa siku ya ijumaa kuna wakati ambao mja yeyote muislamu atakayeomba katika wakati huo atapewa alichoomba. pia mwenyeezi mungu ameifanya swala ya asubuhi ya siku ya ijumaa kuwa ni swala bora na kukaja amri pia ya kufunga biashara na shughuli nyingine pale adhana ya ijumaa inaponadiwa ili kwenda kutekeleza ibada ya swala ya ijumaa. haya tukutane jumanne ijayo in-shaa-allaah. sheikh khamis mataka ni mwenyekiti wa halmashauri kuu ya baraza kuu la waislamu wa tanzania (bakwata) na katibu mkuu wa taasisi ya masheikh na wanazuoni wa kiislamu tanzania. simu: 0713603050/0754603050" |
• Tofauti ya mke na mchepuko!!!. 01 Feb 2016 09:07, (vichekesho: ). Tofauti ya mke na mchepuko!!! |
End of preview. Expand
in Dataset Viewer.
Inkuba-Mono: Swahili Subset
This is the Swahili subset of the Inkuba-Mono dataset, originally collected by Lelapa AI – Fundamental Research Team. It includes only the Swahili text portion extracted from Inkuba-Mono. The data is released under the CC BY-NC 4.0 license.
Dataset Details
The Inkuba-Mono corpus was originally created for training InkubaLM, a small language model focusing on multiple African languages: isiZulu, Yoruba, Swahili, isiXhosa, and Hausa. You can find details about the full Inkuba-Mono dataset in the Inkuba-Mono repository and in the associated InkubaLM paper.
Dataset Sources
The original Inkuba-Mono corpus was compiled from public repositories including:
Swahili Statistics (from Inkuba-Mono)
- Number of sentences (in Millions): 58M
- Number of tokens: ~1B
Note: This standalone dataset contains only the Swahili portion.
Uses
You can use this Swahili subset for:
- Training or fine-tuning language models for Swahili.
- Developing Swahili NLP applications such as text classification, language modeling, or translation systems.
- Any research or educational purpose that requires monolingual Swahili data.
How to Use
from datasets import load_dataset
# Example: loading this Swahili subset from Hugging Face
data = load_dataset("Alfaxad/Inkuba-Mono-Swahili")
Citation
@article{tonja2024inkubalm,
title={InkubaLM: A small language model for low-resource African languages},
author={Tonja, Atnafu Lambebo and Dossou, Bonaventure FP and Ojo, Jessica and Rajab, Jenalea and Thior, Fadel and Wairagala, Eric Peter and Anuoluwapo, Aremu and Moiloa, Pelonomi and Abbott, Jade and Marivate, Vukosi and others},
journal={arXiv preprint arXiv:2408.17024},
year={2024}
}
- Downloads last month
- 10