text
stringlengths 0
4.5k
|
---|
Ngulamu Mwaviro ndiye Mshindi wa Tuzo ya Ubunifu 2016 kati ya Miswada 86 |
Vifo vya watoto njiti pasua kichwa Afrika Mashariki |
Yanayofahamika kuhusu ukuaji wa elimu ya msingi Tanzania |
Aurea Simtowe,Mwananchi [email protected] Rooney* ni miongoni mwa wanafunzi wachache waliobahatika kusoma shule za msingi za umma maarufu nchini. Kila asubuhi ya siku za wiki huamka na kuanza safari ya kwenda kutimiza ndoto za kielimu… Read more |
Mikoa hiyo ina kuku wengi wa kienyeji kiasi cha kuwa kitovu cha wachuuzi wa bidhaa hiyo. [email protected] Dar es Salaam. Kwa wakazi wengi wa Dar es Salaam wakisikia kuku wa kienyeji wazo la kwanza… Read more |
[email protected] Dar es Salaam. Misukosuko inayoikabili karafuu katika uzalishaji na bei katika soko la Dunia ni miongoni mwa sababu zilizofanya thamani ya mauzo ya bidhaa nje ya nchi kushuka kwa kasi Zanzibar jambo linalopunguza… Read more |
Je, Serikali ilimpendelea Dangote makaa ya mawe? |
MSIMAMO WA SERIKALI: Serikali imesema ipo tayari kuwapa wawekezaji wengine upendeleo katika nishati iwapo wanahitaji. Elias Msuya, Mwananchi; [email protected] Je, Serikali ilimpendelea au haikumpendelea bilionea Aliko Dangote kumpa mgodi wa makaa ya mawe? Hayo ni… Read more |
Dodoma. Shirika la Mzinga limeanda mkakati unaokusudia kupanua wigo wa uzalishaji wa mazao ya kijeshi. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi amesema hayo leo wakati akiwasilisha hotuba yake ya… Read more |
Matokeo Uchaguzi Mkuu 2015 |
KARIBU TUKUHABARISHE JUU YA MAMBO MAPYA |
Mpya Hii.., Baada ya Madawa ya Kulevya..Kibano kwa Wavutaji Sigara Chaja…!!!!! |
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inakusudia kutunga sheria ya |
kuzuia uvutaji wa sigara hadharani katika visiwa vya Unguja na Pemba. |
Hatua hiyo ilitangazwa jana na Waziri wa Afya, Mahmoud Thabit Kombo, |
wakati akijibu swali la Mwakilishi wa Mpendae kwenye Baraza la |
inayopatikana kutokana na utumiaji wa sigara pamoja na mikakati ya |
wizara katika kukabiliana na hali hiyo. |
Waziri huyo alisema serikali imeamua kuchukua hatua hiyo kutokana na |
uwapo wa idadi kubwa ya wagonjwa wa maradhi yasiyoambukiza na kwamba |
uvutaji wa sigara umebainika kuwa chanzo chake. |
Kombo alisema katika kukabiliana na hali hiyo, Serikali itatenga maeneo maalum ya uvutaji wa sigara. |
Auawa kwa Tuhuma za Wizi wa Mlango Pamoja na Mbao..:; |
NECTA: Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Sita(ACSEE) May 2017..:; |
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA VYETI VYA WAHITIMU WA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KATIKA PROGRAMU ZA AFYA, MIFUGO NA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016 SASA; |
Huu Ndio Utajiri Mkubwa Utakaoupata, Kama Utaamua Mwenyewe Kufanya Biashara Hii..:; |
Wachezaji wa Everton watua Dar es Salaam Tanzania tayari kukabili Gor Mahia.:; |
KARIBU TUKUHABARISHE JUU YA MAMBO MAPYA |
Hizi Hapa Sababu Sita Nzito za Waziri Mwakyembe Kushindwa Kuwapatanisha Diamond Platnumz na Ali Kiba..!!! |
BAADA ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harrison George Mwakyembe kutamka hadharani kuwa na mipango ya kuwapatanisha wakali wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, sababu sita zitakazomfanya waziri huyo kugonga … Continue reading Hizi Hapa Sababu Sita Nzito za Waziri Mwakyembe Kushindwa Kuwapatanisha Diamond Platnumz na Ali Kiba..!!! → |
MSANII wa Bongo Fleva anayetrendi katika mitandao ya kijamii Bongo, Athuman Omary ‘Hamorapa’, jana jumamosi katika viwanja vya Escape One Kinondoni Jijini Dar es Salaam, alionekana kumganda mzungu wa kampuni ya kinywaji cha Swala baada ya kusambaa kwa taarifa za kupewa dili nono na kampuni inayozalisha kinywaji cha Swala. Kupitia mtandao wake … Continue reading Harmorapa Aamua Kumganda Mzungu wa Kampuni ya Swala Escape One..:; → |
Pamekuwa na minong'ono na ishara kuwa msanii wa bongo fleva mwenye asili ya Sweden mwanadada Saraha sasa anatoka kimapenzi na Big Jahman ambaye pia ni msanii wa bongo fleva, baada ya kuachana na producer Fundi Samweli … Continue reading Mahusiano ya Big Jahman na Saraha Sasa Yawa Hadharani..;; → |
Mwanamuziki maarufu duniani kwa miondoko ya POP MADONNA ameogeza idadi ya watoto wa kuwasili baada ya kuchukua mapacha wawili wa kike kutoka nchini MALAWI nakufikisha idadi ya watoto wanne. MADONA amefikia uamuzi huo ikiwa ni moja ya mikakati yake ya kuwaasili baadhi ya watoto kutoka kusini mwa jangwa la … Continue reading Mwanamuziki MADONNA Aamua Kuongeza Idadi ya Watoto Aliyowaasili..:; → |
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA VYETI VYA WAHITIMU WA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KATIKA PROGRAMU ZA AFYA, MIFUGO NA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016 SASA; |
Huu Ndio Utajiri Mkubwa Utakaoupata, Kama Utaamua Mwenyewe Kufanya Biashara Hii..:; |
Wachezaji wa Everton watua Dar es Salaam Tanzania tayari kukabili Gor Mahia.:; |
Nilipata Nafasi ya kupata Picha ya Pamoja na Jamaa na Marafiki. |
Lazima tuzitunze hizi kumbukumbu kwa vizazi vijavyo. |
#Ee Mwenyezi Mungu Nisaidie. |
← VIDEO: Kutoka Makao Makuu ya Yanga baada ya Simba kupewa point 3 |
PICHA 10: Bomoa bomoa Dar imepita kwenye duka la Staa wa BongoFleva August 29, 2017 |
Good News kwa club ya Mbao FC ya Mwanza imetangazwa leo August 29, 2017 |
Fuatilia kwa Facebook |
WAUMINI WAPYA WALIVYO BATIZWA KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" SIKU YA JUMAPILI 25.09.2016 |
Siku ya Jumapili 25.09.2016 Bishop Dr. Gertrude Rwakatare na wachungaji wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" waliwaombea na kuwaongoza sala ya toba waumini wapya walioamua kuokoka na kumpokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao |
Baada ya maombezi walipelekwa baharini kubatizwa kwa maji mengi na baada ya hapo Siku ya Jumanne walianza masomo ya kukulia wokovu. |
Kipindi wanabatizwa kuna baadhi yao walitokwa na mapepo, majini na nguvu za giza wakati watumishi wa Mungu wakiwaombea. Pia waliweza kujazwa Roho Mtakatifu. |
Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa jinsi anavyofanya maajabu na matendo makuu katika huduma hii ya Mlima wa Moto Mikocheni "B". Pia tuna kila sababu ya kuwashukuru wachungaji, wainjilisti, wahudumu na waumini wa kanisa hili kwa juhudi zao wanazo fanya kuokoa Roho za watu kupitia mafundisho yao, ushauri wao na kuwatia moyo ndugu zetu ambao wameamua kuokoka. |
Tunakukaribisha Jumapili hii katika ibada za Mlima wa Moto Mikocheni "B" kuanzia saa 3 asubuhi na usafiri ni bure kutoka kituo cha Makumbusho na Mwenge. |
Mlima wa Moto |
Uongozi wa kampuni mpya ya ulinzi ya “Power Shield Security Services Ltd” iliyozinduliwa jana Jijini Mwanza, umeahidi kuimarisha hali ya ulinzi na usalama kwa kutumia askari wake wenye weledi wa hali ya juu pamoja na vifaa vya kisasa ikiwemo kamera. |
Kumbukizi ya Miaka 19 ya Baba wa Taifa Mwl. Nyerere |
Ungana na BMG Habari kwenye Facebook, Twitter, Instagram & YouTube kwa kubonyeza hapo chini. |
Wananchi wa Wilaya ya Liwale na Nachingwea mkoani Lindi wameiomba Serikali kuhakikisha inaanza ujenzi wa barabara ya Liwale – Nachingwea yenye kilomita 129 kwa kiwango cha lami ili kutatua changamoto za usafirishaji wa abiria na mazao katika wilaya hizo. |
Akizungumza kwa niaba ya wananchi hao mbele ya Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa, Mkuu wa wilaya ya Liwale Bi. Sarah Chiwamba amesema kuwa wananchi wake wanaamini kuwa Liwale itafunguka kibiashara na kiuchumi endapo itakuwa imeimarishwa katika mtandao wa barabara ambazo zitaiunganisha wilaya hiyo na wilaya jirani pamoja na nchi kwa ujumla. |
“Naamini barabara hizi zikikamilika wilaya hii na mkoa wetu utaendelea kiuchumi kwani suala la miundo mbinu ya barabara imekuwa ni kilio cha muda mrefu katika wilaya yetu.” amesema Bi Chiwamba. |
Aidha Bi. Chiwamba amefafanua kuwa wananchi wengi katika wilaya hiyo ni wakulima hivyo wamekuwa wakitumia miundombinu ya barabara kusafirisha mazao ya korosho na ufuta yanayozalishwa kwa wingi kuelekea maeneo mbalimbali ya nchi. |
Kwa upande wake, Naibu Waziri Kwandikwa anayeshughulikia masuala ya Ujenzi, amewataka wataalamu wote wa masuala ya ujenzi nchini kupitia Sera ya ujenzi ya mwaka 2003 ambayo itawasaidia kuwapa mwongozo katika utekelezaji wa majukumu yao katika kutoa huduma bora kwa jamii. |
Ameongeza kwa wataalamu wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kuwa wabunifu katika ujenzi wa barabara zao ili kuondoa dhana potofu iliyopo dhidi ya usimamizi wa barabara kati yao na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS). |
Ametoa wito kwa uongozi wa TANROADS mkoani Lindi kuhakikisha kuwa wanaboresha maeneo yote ya barabara ambayo ni korofi ili yaweze kupita kiurahisi katika kipindi chote cha mwaka. |
Naye Meneja wa TANROADS mkoani Lindi, Mhandisi Isaack Mwanawima, amemhakikishia Naibu Waziri Kwandikwa kuendelea na mpango wa matengenezo ya barabara kwa kiwango cha lami ili kufungua fursa mbalimbali katika mkoa huo. |
Naibu Waziri Kwandikwa yupo katika ziara ya kikazi mkoani Lindi kujionea hali halisi ya mtandao wa barabara katika mkoa huo ambapo pamoja na mambo mengine ametembelea na kukagua daraja la Nandanga lenye urefu wa mita 30 ambalo lipo kwenye mto Lukuledi katika barabara ya wilaya ya Luchelegwa – Ndanda inayounganisha wilaya ya Ruangwa mkoa wa Lindi na Masasi mkoa wa Mtwara ilikujionea miundombinu yake. |
Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho mara nyingi ameonekana kuwapa wanawake usiku mrefu kwa sababu anavutia sana.Mwanasiasa huyo mara kwa mara huonekana kubadilisha anavyokaa, kutoka kwa mavazi rasmi na kuvaa mavazi yasiyo rasmi. |
Mbunge wa Nyali Mohamed Ali amemsuta gavana Joho kuhusiana na ari yake ya kuwania Urais katika uchaguzi wa 2022 akidai hana maono ya uongozi. Mohammed Ali amesema kwa ari ya Joho ya kuwa Rais haitatimia maana ni ndoto tu. |
Gavana Joho agusia yuko tayari kufanya kazi na Uhuru |
Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho Jumapili, Mei 13 aligusia kuwa ataanza kufanya kazi na hasimu wake wa siasa Rais Uhuru Kenyatta. Joho aliusifu mkataba wa Uhuru na Raila Odinga akisema utasaidia kutuliza joto la kisiasa nchini |
Katika video iliyowekwa Facebook na iliyoonekana na TUKO.co.ke, Mbunge huyo wa Nyali alisema atajitolea kumlipia karo ya shule kuhakikisha amepata elimu nzuri itakayomsaidia kuweka kipau mbele maslahi ya wakazi Nyali. |
Magavana Hassan Joho na Wycliffe Oparanya lazima watafute idhini ya chama cha ODM ili kumpinga Raila Odinga kwa tiketi ya ODM mwaka wa 2022. John Mbadi alisema wawili hao na wanachama wengine walikuwa huru kuwania wadhifa huo. |
Akiwajibu wanahabari wakati wa mkutano wa ugatuzi unaoendelea Kakamega, gavana huyo aliwakosoa wakosoaji wake kwa kusema hata kabla ya kuwa gavana alikuwa akitembea maeneo tofauti ulimwenguni na kuwataka kutulia. |
Gavana wa Mombasa Hassan Joho asisitiza, atapambana na William Ruto katika uchaguzi wa 2022 |
Baada ya kukimya kwa muda kutokana na masuala ya kisiasa, Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho ametangaza kuwa atawania kiti cha Urais katika uchaguzi wa 2022. Ameahidi kuwawezesha na kuwaunganisha Wakenya iwapo atachaguliwa. |
MANISPAA YA ILALA YAANZA UKARABANI WA SOKO LA BUGURUNI. |
Katibu Mkuu wa Soko la Buguruni,Furahisha Kambi akizungumza na Globu ya jamii kuhusu kuanza kwa ukarabati wa miudombinu ya soko hilo la Buguruni na kuipongeza Manispaa ya Ilala,kwa kuchukua hatua hiyo kwa ajili ya kuwajali wafanyabishara wake ambao pia ni sehemu ya walipa kodi wakubwa katika wilaya hiyo |
Katibu Mkuu wa Soko la Buguruni,Furahisha Kambi akionesha baadhi ya nguzo zilizo wekwa kwa ajili ya ukarabati wa soko hilo,jana jijini Dar es Saalaam. |
VYOMBO VYA HABARI |
Idadi ya watu |
MATUKIO @ MICHUZI BLOG: Profesa Elisante Ole Gabriel akutana na baadhi ya wakongwe katika tasnia ya habari nchini. |
Matukio haya na yale sambamba na habari/picha za ziada za Globu ya Jamii |
Profesa Elisante Ole Gabriel akutana na baadhi ya wakongwe katika tasnia ya habari nchini. |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akielezea jambo wakati wa kikao baina yake na wahabari wakongwe kilichoofanyika katika ukumbi wa wizara leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mratibu wa Mfuko wa Hugo Van Lawick Ali Chimbyangu ambaye pia ni mwandishi mkongwe aliye fanya kazi katika vyombo yva RTD, Daily News na African Juornal, Charles Simpungwe na Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Hugo Van Lawick ambaye pia ni mstaafu wa Idara ya Habari -Maelezo, Willie Mbunga. |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (kushoto) akisikiliza kwa makini historia kuhusu sekta ya habari nchini kutoka kwa Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Hugo Van Lawick ambaye pia ni mstaafu wa Idara ya Habari -Maelezo, Willie Mbunga (katikati) wakati wa kikao baina yake na wahabari hao leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni mwandishi mkongwe Charles Simpungwe. |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (kushoto) akisikiliza kwa makini historia ya sekta ya habari nchini kutoka kwa mwandishi mkongwe mzee Charles Simpungwe (kulia) leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Hugo Van Lawick ambaye pia ni mstaafu wa Idara ya Habari -Maelezo, Willie Mbunga.Mfuko wa huo unajihusisha na utoaji wa Tuzo kwa wapiga Picha mahiri. |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (kushoto) akisikiliza kwa makini maelezo kuhusu sekta ya habari kutoka kwa Mratibu wa Mfuko wa Hugo Van Lawick Van Lawick Ali Chimbyangu ambaye pia ni mwandishi mkongwe aliye fanya kazi katika vyombo yva RTD, Daily News na African Juornal, Charles Simpungwe (wapili kulia) wakati wa kikao baina yake na wahabari hao leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari George Msonde, mwandishi mkongwe Charles Simpungwe na Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Hugo Van Lawick ambaye pia ni mstaafu wa Idara ya Habari -Maelezo, Willie Mbunga. |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (wapili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wanahabari wakongwe mara baada ya kikao baina yao leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mratibu wa Mfuko wa Hugo Van Lawick Ali Chimbyangu ambaye pia ni mwandishi mkongwe aliye fanya kazi katika vyombo yva RTD, Daily News na African Juornal, , Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Hugo Van Lawick ambaye pia ni mstaafu wa Idara ya Habari -Maelezo, Willie Mbunga na mwisho kushoto ni Charles Simpungwe |
Exclusive: Interview ya kwanza ya Ruby baada ya... |
DARASA LA STARA KWA MWEZI WA RAMADHANI ON... |
Kambi ya Timu ya England ipo Krakow nchini Poland na kwamba mapema leo asubuhi na jioni hii ni kwamba habari ya Rio Ferdinand inazungumzia na kila mmoja katika kambi. |