text
stringlengths 0
4.5k
|
---|
Hawa ndio Top 15 mastaa wa majuu wenye Makalio Makubwa ndani ya Hollywood |
TOP 10 YA MAGARI YA GHARAMA KUBWA KULIKO DUNIANI MWAKA 2012 |
Picha 22 za Maisha Kim Kardashian kabla hajawa Maarufu na Baada ya kuwa Maarufu pamoja na Baadhi ya boyfriend wake |
Ad: “Mpango wa Kando” |
Swahili: ubaguzi wa rangi |
Aku: Ya Allah..alhamdulillah.. |
Je kuna aliyewahi kukutana na hali kama hii? na namna ya kuihandle plz? |
Kwa kweli hata mimi sipendi mtu asikilize mziki akiwa karibu yangu/ofisini kwetu. Ila hiyo ya kuuliza unasikiliza nini kwa headphones, nasema unaonewa kaka yetu. |
Alafu mwambie unaelewa yeye hapendi mziki wako. Kama atakua na sababu mwachie nafasi ya kujieleza. |
pole sana mkuu wa kazi doh!.chukua hatua mzee mkabidhi kwa mungu yasije yakakuhamia na wewe |
Huyo atakuwa ni mtu mwenye matatizo yanayo sababishwa na shinikizo la mawazo na ukosefu wa usingizi na wala si mapepo kama unavyo fikiria...! watu wengi wa aina hiyo huwa hawapendi kusikiliza vitu vyenye kujirudia rudia kama vile nyimbo au mashairi, na hasa nyimbo zinazo endana na ala za mziki...! haijarishi ni aina gani ya mziki...! |
Basi nawe unatakiwa uwe mtu unayejali wengine, si wote wenye kupenda kusikiliza kwaya au aina fulani ya mziki, japokuwa kwa imani yako wewe unaona ni jambo jema. |
kama ni mapepo basi ni aina ya majini hayo!!! |
Halafu wameombea wapi hiyo rushwa wakati wako majumbani, au hao wagonjwa wamewafuata majumbani, na kama ni hivyo wanahitaji kuwalipa kwa kuwa hiyo ni huduma private. |
Kuna watu wengi ambao "wanatia petroli kwenye moto" hawa pia ni miongoni mwao. |
Nashindwa kuelewa kwa nini serikali/uwt isiwachukulie hatua kali watu kama hawa. |
Madaktari mnaosikia, KAZI KWENU! |
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema kuadimika kwa bidhaa muhimu ya sukari ilikuwa ni propaganda kwa sababu ipo ya kutosha. |
Mwijage ametoa kauli hiyo jana Mei 11 wakati akijibu hoja za wabunge waliochangia mjadala kuhusu bajeti yake kwa mwaka 2018/19 na kuongeza kuwa suala la uhaba wa sukari, yeye ni mcha Mungu pia aliyekuwa mama yake na bibi walikuwa waislamu hivyo hawezi kuwahujumu Waislamu katika kipindi hiki cha kuelekea mwezi Mtukufu wa Ramadhani. |
“Kwa hiyo hakuna tatizo la sukari, niko hapa na tunafunga kwenye mwezi Mtukufu wa Ramadhani atakayekuwa na tatizo aje aniulize. Tunasambaza sukari kwenda mikoani,” alisema. |
BAADHI YA HABARI ZA MAUDHUI HAYA UNAZOWEZA KUZIPENDA |
Idadi ya abiria waliokufa kutokana na ajali ya basi la Kampuni ya Luhuye katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu juzi imeongezeka kut... |
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii, imesema mpaka kufikia Februari mwaka huu, Serikali ilikuwa imetoa Sh bilioni 576.52 peke... |
Bunge limeitaka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, kufanya ukaguzi polisi, magerezani na sehemu nyingine zinazolalamikiwa kuvun... |
Binti Fauzia akiwa amepozi nyumbani kwao maeneo ya Kigogo jijini Dar es Salaam. Waandishi Wetu NI lipi hujasikia? Linaweza... |
HABARI 5 MAARUFU ZAIDI |
Jina langu ni William Joseph Bundala,Kabila langu ni Mnyamwezi,Ni mwandishi wa habari,Mtangazaji pia ni mwandaaji wa Vipindi vya Televission.Kwa sasa nafanya kazi na radio Kahama iliyopo wilayani Kahama mkoani Shinyanga. E-mail yangu ni [email protected],Namba zangu za simu ni 0767-942570,0786-942570 na 0715942570. |
Kuna yeyote mwenye anafahamu siri ya kinanda? |
mimi sistahili hata kufunga gidhamu za viatu vyake. |
hata mimi nakijua cha kawaida mkuu. |
Sasa hapo inategemea na kipaji na utaalam wa mpigaji katika kuvishughulisha vidole vyake,maana wapo watu mahiri kuvitumia vidole hivyo hivyo katika ala mbali mbali,kama ngoma,gitaa,filimbi n.k.kwa hiyo ndio au hapana yote yaweza kuwa majibu |
Hapa tunachambua kinanda kama ala ya muziki. |
Wakuu wana-JF! Binafsi nimekuwa hapa JF kwa muda mrefu sasa, shukrani kwa maxence na wote walio nyuma ya JF: Jukwaa hili sasa ni kutaniko kuu la Vijana, Wazee, Wasomi, Wanasiasa (Vyama Vyote) na watu wa kada zote. Pia nafarijika sana napokutana na Nguli wa siasa za Tanzania, Japo wengine tunaficha majina lakn lengo linabaki moja-Kuijenga msingi wa maendeleo ya TANZANIA. |
Mimi si mchambuzi wa siasa, lakn Kulingana na muenendo wa siasa za nchi yetu kwa miaka ya karibuni, ni dhahiri kabisa kuwa CCM, CHADEMA na CUF ndiyo vyama pekee ambavyo vinawanachama na wafuasi wengi katika Mikoa yote ya Tanzania, hii inatokana na ama sera ziletazo matumaini au ushabiki wa kawaida kama wa simba na yanga, makundi yote hayo hukipa uhai chama, japo kundi la pili linaleta mashaka kidogo-Ushabiki. Ushabiki usingekuwa na tabu sana kama ungeonekana vijiweni, lakn inatia mashaka kiasi kama suala la ushabiki linakuwa kipaumbele kwa wanachama wengi wa JF (The Home of Great Thinkers)! Inakuwa ngumu kuingia akili pale Kijana wa kitanzania anaposhabikia hoja zenye muelekeo hasi kwa maendeleo ya nchi yetu, ati kwa sababu tu ya u-CHADEMA, u-CCM, au u-CUF! |
mkuu vijana wa kinepi ndo wapo wengi sana humu, japo hata vijana wa magwanda pia wapo. |
Si mbaya mkuu kuwa na vijana wa CDM, CCM, CUF, na vyama vyote! Alimradi tu wasimamie maslahi ya UMMA, na si maslahi ya "mabwana" wao na matumbo yao! They are a shame! |
Naibu katibu mkuu wa CUF chama cha wanachi Mh.Julius Mtatiro,amebainisha kwamba nchi inakuwa na viongozi mafisadi wengi kwa kuwa wengi hawana nia ya kuongoza ili kumkomboa mtanzanaia bali kukomboa matumbo yao. |
Mh. Mtatiro aliamua kuweka wazi kile alichokiweka moyoni kwa muda mrefu kwamba kabla ya kujiunga na chama chochote cha siasa alifuatwa na vyama vyote vikubwa vya siasa hapa nchini wakimsahawishi ajiunge kwenye vyama vyao,lakini alivutiwa sana na ilani/itikadi , sera ya CUF kama alivyo tanabaishawa na Prof.Lipumba (mwanyekiti wa CUF ) ambaye ambaye alifanya mazungumzo nae, amabaye Mtatiro ansema yeye alikuwa tofauti na viongozi wa vyama vingine ambao walimuahidi,nyumba,gari,fedha na vyeo."Hii haikuwa interest yangu mimi niliangalia chama gani chenye siasa za kweli na kinawatetea watanzania bila fix" alieleza Mtatiro. |
Naibu katibu mkuu huyo wa CUF aliendelea kutanabisha kwamba wanaushahidi wa sauti wa namna viongozi hao wa Chadema walivyokuwa wakihangaika kuwarubuni viongozi wa CUF mikoa ya kusuni kwa kutumia ahadi za kuwapatia fedha pale watakapohama CUF na kuhamia Chadema wakati wa ziara yao ya mikoa ya kusini hivi karibuni. |
si hasa, kwa maisha gani aliyonayo ya kukataa pesa?!... |
Hii quality ya sauti inategemea uko mbali kiasi gani kutoka STATION ya hawa jamaa au kama hapo ulipo kuna STATION ya hawa jamaa. Tuseme kama uko UK, ni poa sana kutumia SKYPE. Kama uko USA ni poa sana kutumia REBTEL nk. Sasa tuseme uko USA na unaunganisha SKYPE iliyopo UK, basi ujue kuna TIME delay hadi kufika UK na hapo ndipo uende kuunganishwa tuseme Kikuyu kwa Wagogo. Lakini unaweza kujaribu maana wengi hutoa dakika walau mbili uonje RAHA ya kuongea na wazee huko Mwanelumango au Mkomanzi... Hivi ndivyo nijuavyo mimi juu ya VoIP. Sijui kama imebadilika kwa sasa. |
Kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa hapa JF kumekuwa na matangazao ya CallTanzania.com yakiashiria kuwa bei ya simu kuita Tanzania (nadhani kutokea marekani) ni senti 13 tu kwa dakika. Swali langu siyo kuhusu huduma zenyewe bali wamiliki wa biashara ile; je ni watanzania? |
Wakizungumza na Ijumaa katika nyakati tofauti baadhi ya watu hao walisema kuwa, wapo watu wanaoweza kusimama na kusema ni bikira lakini siyo Nisha. |
Naye Janeth wa Mtoni Kwa Aziz Ally alisema kuwa, Nisha asitake kuwafanya mashabiki wake ni watoto kwani wanajua kwa umri wake na staili ya maisha yake hawezi kuwa bikira. |
KAZI moja! Wachezaji wa Yanga wameahidi kupambana kuhakikisha wanapata matokeo mazuri katika mechi ya marudiano ya hatua ya mtoano ya mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Welayta Dicha FC itakayofanyika leo mjini Awassa, Ethiopia. |
Wawakilishi hao pekee wa Tanzania waliobakia katika mashindano ya kimataifa ambao wanadhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo Michezoni ya SportPesa watashuka uwanjani wakiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 2-0, hivyo wanahitaji sare au ushindi wowote ili wasonge mbele. |
Akizungumza na gazeti hili jana, nahodha wa Yanga, Nadir Haroub “Cannavaro” alisema kuwa mechi ya leo ni muhimu kwao kwa sababu wanahitaji kuingia katika hatua ya makundi na vile vile kupata fedha zinazotolewa baada ya kufika hatua hiyo. |
Cannavaro alisema pia wanatarajia kukutana na changamoto kutoka kwa wapinzani wao lakini akitamba kuwa leo kikosi chao kitakuwa kamili baada ya baadhi ya nyota waliokosekana katika mechi ya kwanza akiwamo straika, Obrey Chirwa, kurejea. |
“Mawazo yetu yako katika mechi hii ya kimataifa, ni muhimu sasa kuliko kitu kingine kwa wakati huu, tukirejea nyumbani ndiyo tutaanza kuifikiria Simba na vita ya Ligi Kuu kwa ujumla,” alisema beki huyo. |
Naye Meneja wa timu hiyo,Hafidh Saleh, alisema kuwa wanamshukuru Mungu wachezaji wote wako katika hali nzuri na wanachosubiri ni muda na siku ya mchezo ifike. |
Endapo Yanga itatinga hatua ya makundi itakuwa na uhakika wa kupata pesa zinazotolewa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ambalo hutoa Sh. bilioni 1.8 kwa timu itakayomaliza katika nafasi ya kwanza kwenye kundi huku Sh. milioni 536 zitakwenda kwa klabu zitakazoshika nafasi ya pili na ya tatu huku ile itakayoburuza mkia itapata Sh. milioni 336. |
"Unakwenda wapi"; "Unatoka wapi" Maswali yenye dalili za matatizo kwenye mahusiano? |
Hivi mtu akiuliza maswali haya ina maana gani katika mahusiano? Je uhusiano unaweza kuimarishwa kwa maswali haya au ni dalili ya matatizo? Kama watu wanamawasiliano mazuri kwanini haya maswali yanatokea? Je nilazima kuaga kila ukitoka. Na katika mahusiano kuagana au kuombana ruhusa ni muhimu? |
Moja kati ya maswali ambayo siyapendi...saa nyingine mtu anajua kabisa upo kazini lakin atapiga kukuuliza upo wapi?unafanya nini?dah majibu yake kama nina stress zangu za kaz ni simple tu....nipo msalan cha kwamba nafanya nini jibu atakuwa nalo kwa huo muda |
Hapo alimaanisha kwamba, yeye akionekana ni mjuzi sana, ni kwa sababu ametumia mambo ambayo wengi wenye ujuzi mkubwa zaidi yake wameyaweka kabla yake. |
Unatumia vodafone router ya aina gani mkuu??? Unaweza kutuwekea na picha yake pia ili iwe rahisi kukusaidia? |
"Nimetafakari na kupata ushauri wa familia, ndugu, wazee, jamaa na rafik zangu na sasa nimefikia uamuzi, nitauweka wazi kwenye press conference nitakayofanya Jumanne wiki ijayo".... |
"Nimedhalilishwa sana, nimefedheheshwa sana, nimeonewa sana katika hili! Nimetafakari, kwa niaba ya chama changu, serikali na familia yangu, nimeamua kuachia ngazi"- E. N. Lowasa (2008) |
Hahahaha!.. Kweli unadhani kwa uamuzi huo alikuwa na umuhimu wa kufanya Press Conference?.. Binafsi naamini ana mpango wa kujiondoa kwa wadhalimu CCM |
Ajinyonge. Hayo ndo maamuzi magumu. |
anataka kuachana rasmi na kazi ya udaktari wa binadamu kwa kuwa hailipi? |
karibu sana, bila shaka unaweza ukawa mkali wa wiki hii. |
George F. Lapeyre House (1892) saa 3,924 Saint Charles Avenue (Rayne Mafunzo ya Center), kati ya Mkuu wa Taylor na mitaa Constantinople katika mapema asubuhi. New Orleans, Louisiana, 18 Desemba 2006 |
VIDEO: Zitto Kabwe bungeni kuhusu ishu ya dawa za kulevya na Vyuo vikuu vipya – Millardayo.com |
VIDEO: Zitto Kabwe bungeni kuhusu ishu ya dawa za kulevya na Vyuo vikuu vipya |
Tangu Mkutano wa bunge la 2017 uanze hatukumsikia Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe lakini February 6 2017 alisimama na kuchangia maoni yake pia kuhusu ishu ya dawa za kulevya inayoendelea Dar es salaam sasa hivi, kwanini anataka vyuo vikuu vipya vitatu Tanzania, bonyeza play hapa chini kumtazama |
VIDEO: Maagizo matatu ya Paul Makonda leo Feb 6 2017 kuhusu ishu ya dawa za kulevya, tazama kwenye hii video hapa chini |
#Mjadala: Lini timu ya Taifa ya Tanzania ‘TaifaStars’ itashiriki michuano ya Kombe La Dunia? _ Clouds FM |
#Mjadala: Lini timu ya Taifa ya Tanzania ‘TaifaStars’ itashiriki michuano ya Kombe La Dunia? |
WaIslamu zaidi ya mia moja wamejumuka na Wakatoliki katika sala iliyohudhuriwa na waumini wengi katika Kanisa moja huko Rouen, Ufaransa. |
Tukio hilo limewadia , siku tano baada ya kasisi wa kanisa hilo , kuuawa na wapiganaji wa Kiislamu. |
Mauaji ya hivi karibu kabisa yaliyotekelezwa na wapiganaji wa Kiislamu, yameshtua Ufaransa. |
Kasisi huyo wa umri wa miaka 86, Kasisi Jacques Hamel, aliuwawa akiwa kwenye maombi. |
Muitikio wa uchangiaji damu ni mkubwa Dar es salaam |
Bw. Joseph Lubabwa, ni Meneja anayesimamia ruzuku wa Shindano la Ubunifu la Data for Local Impact. Baada ya miaka sita ya usimamiaji miradi mbali mbali ya ruzuku za kati, anachangia katika kutoa ujuzi wake kuwasaidia wabunifu na wajasiriamali katika usimamizi wa ruzuku zao kutoka DLIIC. Hutoa msaada hususani katika maeneo ya Usimamizi wa Fedha, Uhasibu na Uwekaji wa Kumbukumbu ndani ya shughuli za kifedha za mradi na kuhakikisha kuwa shughuli zote zinafanywa kwa njia ya ufanisi na bora. |
Kuna kazi nzito ya kuelimisha vijana kutotumika kwa utaratibu huu kwa manufaa ya vizito wanaolinda na kutetea nafasi zao. |
Ama kweli njaa haina adabu. |